Mr Bean.
Senior Member
- Jan 25, 2015
- 185
- 128
Wadau hii imenishangaza kitambo sasa juu ya hawa masupasta wetu. Mara zote utasikia wanazungumzia wazazi wao wa kike tu na si wazazi wa kiume.
Mfano utasikia Mama Lulu kasema hivi. Mara mama Kanumba vile.?Mara mama Ray anoekana Kariokoo. Mara Mama Kiba aja juu. Nk nk.
Sijawahi kusia Wazazi wa kiume wa hao mastaa wakiwataja watoto wao au hao mastaa wakiwataja baba zao kama wanavyowataja mamazao.
Kulikoni?