Masters degrees za Mzumbe University zinaua ubora wa elimu

kama issue ni kushangaa mtu mwenye Advance Diploma kufanya Masters basi mleta mada haelewi mfumo wa elimu
 
Uzi wa kipuuzi kabisa huu. Sie tuliokuwa na Advanced Diploma na tukapata masters MU na GPA 4.0 unatuweka wapi.
 
Nawaomba uongozi wa Mzumbe University mfikirie upya hizi degree za masters mnazozitoa huko mitaani/Centres za mikoani. Mnaua ubora wa elimu nchini. Si jambo jema academically, mtu wa Advanced diploma kusoma masters bila basic degree! Nimeona products wenu wana mapungufu mengi! unawaona kabisa kuwa kuna vacuum upstairs with regard to professionalism worth of Masters degree level. Re-think your programme.

Sasa mmebatizwa kwa kuitwa "MAHARAGE YA MBEYA" kuwa yanaiva haraka/mapema! Nipigeni madongo, lakini ngoja niliseme
ha ha ha, mnatukashifu tuliosoma MZUMBE DAR, kwa kifupi MASTERS AYA MZUMBE DAR NI ILE ya Chupi, research watoto wa kike wanafanyiwa na watu wa ststionries, na wengine wanakopi za tumaini Iringa, yani wanatoka na makaratasi na si knowledge.
 
Kwani ni kipi kipya ambacho aliesoma degree kinamfanya awe compentent kuliko aliyesoma advanced diploma, Tena degree zenyewe za kutafta coursework na kwenda semester nyingine.
 
Kwani ni kipi kipya ambacho aliesoma degree kinamfanya awe compentent kuliko aliyesoma advanced diploma, Tena degree zenyewe za kutafta coursework na kwenda semester nyingine.
Acha kufananisha jiwe na vitu vya kijinga bana ww
 
ha ha ha, mnatukashifu tuliosoma MZUMBE DAR, kwa kifupi MASTERS AYA MZUMBE DAR NI ILE ya Chupi, research watoto wa kike wanafanyiwa na watu wa ststionries, na wengine wanakopi za tumaini Iringa, yani wanatoka na makaratasi na si knowledge.
Chuo gani tanzania hakitoi degree za makaratasi ama za kukariri masomo?
 
Kwani ni kipi kipya ambacho aliesoma degree kinamfanya awe compentent kuliko aliyesoma advanced diploma, Tena degree zenyewe za kutafta coursework na kwenda semester nyinginE
Ahahahaaaaa . . . . . mpaka raha yaani. Nimelipenda swali lako mkuu. It's high time tupeane za uso ukweli ujulikane
 
Back
Top Bottom