Future eyes
Senior Member
- May 30, 2022
- 126
- 65
Habari ndugu zangu, naomba kufahamu kwa anayefahamu ubora wa bachelor degree zinazotolewa na chuo kikuu cha St. Joseph in University upande wa elimu kwani nina ndoto za kusoma chuo hicho.
St.joseph university in Tanzania kimesajiliwa na nacte pamoja na tcu kwani kinatoa kozi za engineering, ualimu wa sayansi na uuguzi pamoja na udaktariwe soma tuu hakikisha chuo kimesajiliwa
Nimesoma PGM hivyo nataka kuchukua Bachelor's degree of science with education with physics and mathematicsNi chuo kizuri kinatoa graduate competent sana Soma hiyo kozi kwenye hicho chuo hutojuta,wako vizuri sana
Utakua mwalimu bora wa sayansi practically na theoretical
Unawaza kuchukuq masomo yapi yq sayansi? Watu wa physics wanaxhukuliwa mapena sana hawakai
Waliomaliza 2021 wameajiriwa 2022 Kama ulisoma phyisics basi chukua hiyo uchagua ICT na physics hutoonja joto la mtaani.
Safi sana inafaa Ila kwa dunia ya sasa ingependeza sana na ningekushauriNimesoma PGM hivyo nataka kuchukua Bachelor's degree of science with education with physics and mathematics
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Mkuu umemshauri vizuri sana aiseeSafi sana inafaa Ila kwa dunia ya sasa ingependeza sana na ningekushauri
Uchukue ict na physics au mathematics na ict Ili uwe na wigo mpana ata kusaka fursa vyuo vya ufundi yaani veta na vile vya kati vilivyo chini ya NACTE n.k itakusaidia sana maana kwenye maisha huwa tunatafuta penye nafuu zaidi.
Computer itakuuza fasta vyuo vya ufundi na vya kati Na hesabu pia na ata physics ambayo wao wanaita engineering science. Kwa hiyo ata kama umeajiriwa na Tamisemi utapambana kuhamia veta chap maana vyuo vinajengwq kila leo,kule masilahi mazuri kimtindo tofauti na kule secondary.
Kwa kifupi hayo masomo unauzika vizuri sana. Imagine mwalimu wa degree sayansi ajira mpya secondary ana laki 8 na elf 5,wakati yule wa degree kule veta ana tutor yaani mkufunzi ananza na 1.43m, jaribu kuchekecha akili.
Kule veta na vyuo vya ufundi vingine pqmoja nq vile vyuo vya kati kwa maana vya certificate na diploma ,masomo kama english,hesabu na engineering sayansi ni masomo ya uelewa tu ila computer ni somo la fani
Mkuu umemshauri vizuri sana aisee
Msaada namna ya kupambania kupata chance huko VETA m n mwajiriwa Ortamisemi
Masomo Physics and ICT (degree) nafundisha secondary
Na barua inatakiwa ipitie kwa mwajiri wangu ?Lazima uwe na GPA YA 3.5+ kama unayo andika barua kwa katibu mkuu wizara ya elimu kuomba kuhamia chuo cha kati.
Mkiwa mnaandika muwe na uhakika, yupi mwalimu wa degree analipwa laki nane au hujui mifumo ya mishahara mkuuSafi sana inafaa Ila kwa dunia ya sasa ingependeza sana na ningekushauri
Uchukue ict na physics au mathematics na ict Ili uwe na wigo mpana ata kusaka fursa vyuo vya ufundi yaani veta na vile vya kati vilivyo chini ya NACTE n.k itakusaidia sana maana kwenye maisha huwa tunatafuta penye nafuu zaidi.
Computer itakuuza fasta vyuo vya ufundi na vya kati Na hesabu pia na ata physics ambayo wao wanaita engineering science. Kwa hiyo ata kama umeajiriwa na Tamisemi utapambana kuhamia veta chap maana vyuo vinajengwq kila leo,kule masilahi mazuri kimtindo tofauti na kule secondary.
Kwa kifupi hayo masomo unauzika vizuri sana. Imagine mwalimu wa degree sayansi ajira mpya secondary ana laki 8 na elf 5,wakati yule wa degree kule veta ana tutor yaani mkufunzi ananza na 1.43m, jaribu kuchekecha akili.
Kule veta na vyuo vya ufundi vingine pqmoja nq vile vyuo vya kati kwa maana vya certificate na diploma ,masomo kama english,hesabu na engineering sayansi ni masomo ya uelewa tu ila computer ni somo la fani
Wewe ndo hujui chochote nashauri nyuzi zingine soma kimya kimya sio ushamba pia,bilashaka wewe ni mwalimu wa grade A unajilinganisha na mwenye degreeMkiwa mnaandika muwe na uhakika, yupi mwalimu wa degree analipwa laki nane au hujui mifumo ya mishahara mkuu
Lazima uwe na GPA YA 3.5+ kama unayo andika barua kwa katibu mkuu wizara ya elimu kuomba kuhamia chuo cha kati.
VETA hakuna GPA mkuu, na ata vyuo vya kati , vingine vingi haviangaliaa GPA japo vichache vimejiwekea hivyo kwa kifupi instructor na Tutor haiangaliwi GPA,fuatlia ata matangazo yanayotolewa utumishi utagundua hilo na vyuo vichache sana vinavyoangalia GPALazima uwe na GPA YA 3.5+ kama unayo andika barua kwa katibu mkuu wizara ya elimu kuomba kuhamia chuo cha kati.
Mkuu umemshauri vizuri sana aisee
Msaada namna ya kupambania kupata chance huko VETA m n mwajiriwa Ortamisemi
Masomo Physics and ICT (degree) nafundisha secondary
Unauzika mkuu pambana,hayo masomo yote veta yanafundishwaMkuu umemshauri vizuri sana aisee
Msaada namna ya kupambania kupata chance huko VETA m n mwajiriwa Ortamisemi
Masomo Physics and ICT (degree) nafundisha secondary
Shukrani sana ndugu kwa ushauri wakoSafi sana inafaa Ila kwa dunia ya sasa ingependeza sana na ningekushauri
Uchukue ict na physics au mathematics na ict Ili uwe na wigo mpana ata kusaka fursa vyuo vya ufundi yaani veta na vile vya kati vilivyo chini ya NACTE n.k itakusaidia sana maana kwenye maisha huwa tunatafuta penye nafuu zaidi.
Computer itakuuza fasta vyuo vya ufundi na vya kati Na hesabu pia na ata physics ambayo wao wanaita engineering science. Kwa hiyo ata kama umeajiriwa na Tamisemi utapambana kuhamia veta chap maana vyuo vinajengwq kila leo,kule masilahi mazuri kimtindo tofauti na kule secondary.
Kwa kifupi hayo masomo unauzika vizuri sana. Imagine mwalimu wa degree sayansi ajira mpya secondary ana laki 8 na elf 5,wakati yule wa degree kule veta ana tutor yaani mkufunzi ananza na 1.43m, jaribu kuchekecha akili.
Kule veta na vyuo vya ufundi vingine pqmoja nq vile vyuo vya kati kwa maana vya certificate na diploma ,masomo kama english,hesabu na engineering sayansi ni masomo ya uelewa tu ila computer ni somo la fani
Mwalimu wa degree science sahv anaanza na 805,000 as basic salary mwandishi yuko sahihiMkiwa mnaandika muwe na uhakika, yupi mwalimu wa degree analipwa laki nane au hujui mifumo ya mishahara mkuu
Shukrani mkuu ngoja tupambane tuoneUnauzika mkuu pambana,hayo masomo yote veta yanafundishwa
Physics wanaita engineering science na hiyo ict,kwa kifupi wewe ni potential mkuu