Masterminder wa kummwagia tindikali Kubenea awa kichaa

Masterminder wa kummwagia tindikali Kubenea awa kichaa

Hao TISS wafungue account hapa JF na wakanushe hii habari na pia wamkane huyo kijana anaeonakana kwenye hiyo picha
 
Hii thread hapa haidumu.
Kuna thread ilikuwa inamhusu Zito Nilifumania jana akiwa anaonywa na jamaa wa Tiss ikiwa na heading wafuas wa zito mnafahamu haya mazito ya zitto? Nilijaribu kucoment kini nikareapondiwa aina haki kufanya hivyo mara kadhaa, na kilikuwa hakuma comment hata moja.
Najua iliondolewa haraka kumlonda zito kini nasema tiss watamuondoa kwani mkanda wa fedha apizohongwa unazidi kuvuja.
 
Ukombozi wa nchi hii kupitia mitandao ni ndoto!

Sina haja ya kufafanua!
 
Mleta hii habari acha uongo, huyo jamaa namfaham sana anapatikana pale kwa Azizi Aly. Huyo sio chizi bali ni mlevi wa siku nyingi ila kuhusu kuliwa NDOGO sina uhakika nalo. Ushauri. Tuache kupost vitu visivyo na ukweli kwani vinalipunguzia sifa jukwaa letu.
 
Duuuh hii hatari,

Jah yupo walipo wanyonge na waja wake. Kwake Jah kila goti litapigwa!

Wengi wa wanajf wamejenga fikra mfu akilini mwao, kila kinacholetwa hapa kilichokinyume na ccm/dola kwao ni habari ya uzushi,

Nashauri jeshi la polisi nchi liende likamchukue huyu kijana na alindwe kwa gharama yoyote ili asaidie uwajibishwaji wa wahusika,

Haya yasiposhughulikiwa nawahakikishieni ipo siku yataiangusha serikali halali madarakani.
 
Kuna thread ilikuwa inamhusu Zito Nilifumania jana akiwa anaonywa na jamaa wa Tiss ikiwa na heading wafuas wa zito mnafahamu haya mazito ya zitto? Nilijaribu kucoment kini nikareapondiwa aina haki kufanya hivyo mara kadhaa, na kilikuwa hakuma comment hata moja.
Najua iliondolewa haraka kumlonda zito kini nasema tiss watamuondoa kwani mkanda wa fedha apizohongwa unazidi kuvuja.

Mkuu jiulize ni kwanini huu uzi umeondolewa kutoka jukwaa la siasa alafu utapata jibu!
 
Nimemkumbuka huyo jamaa anafahamika kama Joseph maarufu kwajina la MASHARUBU, muulize mwenyeji yeyote wa kwaazizi ali atakuonyesha kwake.
 
Ukombozi wa nchi hii kupitia mitandao ni ndoto!

Sina haja ya kufafanua!

inawezekana sana. Waulize wamisri na watunisia walivyofanikiwa kupitia mitandao na simu kuundoa udhalimu.
Kama hukuwa na ufafanuzi ulicomment ya nini?
 
Kuna watu watakuja na kusema mimi ni nabii... Kumbe ni manabii wa uongo
Vivyo hivyo kuna watu watakuja na kusema wao ni maafisa usalama...

Wewe unajuaje ni afisa usalama umeona kitambulisho chake.??
 
Duuuh hii hatari,

Jah yupo walipo wanyonge na waja wake. Kwake Jah kila goti litapigwa!

Wengi wa wanajf wamejenga fikra mfu akilini mwao, kila kinacholetwa hapa kilichokinyume na ccm/dola kwao ni habari ya uzushi,

Nashauri jeshi la polisi nchi liende likamchukue huyu kijana na alindwe kwa gharama yoyote ili asaidie uwajibishwaji wa wahusika,

Haya yasiposhughulikiwa nawahakikishieni ipo siku yataiangusha serikali halali madarakani.

we nawe bhana!.toka lini kesi ya nyani akakabidhiwa ngedere.sana sana watakacho fanya hao policcm ni kwenda kumchukua na kumkabidhi UTW na huko ndo anakako pewa bakshishi yake.
 
Habari zilizoifikia intelligensia ya Ngosha na kuthibitishwa bila ya shaka yoyote zinatuambia yule kijana wa usalama wa taifa aliyebuni na kuhakiki mpango wa kummwagia tindikali Kubenea sasa amechanganyikiwa na kuwa mwehu.

Kijana huyo mara baada ya kufanikisha zoezi ovu na kesi yake kufutwa kiaina, alipewa zawadi na uongozi wa juu kabisa wa usalama aende masomoni India. Masaibu makubwa yanamkuta huko, alianza kwa kulewa kupindukia, akawa akifanywa kinyume cha maumbile na Wahindi, hivi sasa amekuwa mwehu.

Wehu wake umekuwa wa manufaa makubwa kwetu kwa sababu anabwabwaja mambo mengi sana ikiwemo ule mkakati wake ovu alioutekeleza kwa Kubenea. Amethibitisha kwamba yeye ndiye alitafuta vijana wahuni kutoka Temeke, akawanunulia tindikali, akawaelekeza wakammwagie Kubenea ili akiwa kipofu, ashindwe kuendelea na uandishi.

Msepa amesema mwenyewe kwamba katika hatua za awali za mkakati wake nusura wahuni wake wamgeuke kwa kuwacheleweshea malipo kwa sababu ya uzembe wa kigogo mmoja ndani ya usalama ambaye tunaficha jina lake kwa sasa.

Tumefanya mazungumzo mengi na Msepa akaweka wazi uovu mwingine uliofanywa na wana usalama wenziwe dhidi ya Kubenea kwenye kuvamia ofisi yake ili waibe nyaraka ati zilizokuwa na maelezo ya account ya Kikwete, kwenye kuandaa majambazi wanne ili wamuue n.k.

Mkanda mzima wa Msepa tunao na tutauweka hapa mambo fulani fulani yakikamilika. Leo naweka picha yake akiwa amejikojolea vibaya mara baada ya kutoka kufanywa (kunradhi maneno si matusi)

Jambo moja la kujifunza, yanyomtokea Msepa ni funzo kwa wote wanaotumiwa na vyombo vya dola kufanya uhalifu. Vyombo hivyo vikishakutumia na kukuona huna thamani, vinakutekeleza na pengine kukuua.

Haya yatamtokea huyo kijana wa watu. Nimehakikishiwa kuwa uongozi wa usalama umepata habari za kubwabwaja za Msepa na sasa wanamuandalia haki yake.....

Hili liwe fundisho kwa wengine wote ambao wamekuwa wakijadiliwa humu kwamba wanatumika na usalama wa taifa.

attachment.php

card-hoax.jpg
 
Back
Top Bottom