Masterminder wa kummwagia tindikali Kubenea awa kichaa

Masterminder wa kummwagia tindikali Kubenea awa kichaa

Kwa muda tangu nijiunge hapa,nimeshajifunza mengi kuhusu JF.
Mkuu umejifunza nini zaidi ya namna ya kutengeneza gongo make bavicha wengi kpo jf kutukana wala siyo kujifunza mkuu ila wapo wanaojifunza siyo wewe.
 
Hii furum ya mwaajabu ya ajabu sana kwani uongo ndiyo faida kwake huyu mwenye ile forum?
 
Yale yale mambo ya kutunga swaga na kupotosha watu huo mtandao wake ni sawa na gazeti lake full uongo.

Itakuwa ya umbea nini make mara nyingi za umbea na kutunga jf hazina nafasi kabisa labda kwenye mitandao ya ajabu ajabu.

mkuu, JF ni kama bahari. Haitunzi uchafu. Labda huko mlikozoea uchafu ndo unadumu. JF wapo makini sana

huu ni umbea rudisha kwenye hiyo hiyo forum yenu ya -----------

Unahisi nini mkuu au unahisi gongo nini mkuu.

angalizo zuri sana hili. Nimelipenda

Kuna watu wanamiliki viwanda vya kupika uongo. Na ndio huu uongo wenyewe

sure mkuu. Siku hizi kuna ujinga umeanza wa kuchukua uchafu mahala fulani na kuurushia humu

Ni kweli mkuu jf ni mada zenye hoja tu wala siyo umbea na upotoshaji kwenye jamii kama ile mitandao ya kununuliwa na wanasiasa.

moja ya jambo ulilojifunza ni nini.

Naona mmeivamia thread kwa kasi ya ajabu. Hahahahaha....tumbo linadhalilisha sana
 
sure mkuu. Siku hizi kuna ujinga umeanza wa kuchukua uchafu mahala fulani na kuurushia humu

Hii habari inamhusu mkuu wa kaya na taasisi nyeti itaondolewa tu.

Nawashauri wahusika kama wameonewa waende mahakamani na si vinginevyo.
 
Alieratibu mpango wa kumwagiwa tindikali Kubenea anafahamika wala siyo TISS, ni kiongozi wa chama cha siasa, acheni uongo wa kutunga.
 
Mkuu umejifunza nini zaidi ya namna ya kutengeneza gongo make bavicha wengi kpo jf kutukana wala siyo kujifunza mkuu ila wapo wanaojifunza siyo wewe.
Habari sensitive kuhusu hiyo taasisi na mkuu wa kaya ni taabu kudumu hapa.

Bila shaka huwa wanaingilia kati.
 
nimecheka sana. Eti mtu anasema kuwa masterminder amepata kichaa, wakati huohuo anasema amefanya nae mazungumzo! Duh kwa nijuavyo vichaa sijui kama kuna ukweli hapa
 
Eeee..nimeishasoma hata wakiifyekelea mbali. Ukiua kwa upanga utauawa kwa upanga. Hayo ndiyo yanayo na yatakayo wasibu magamba.
 
hata wewe kama umeshuhudia wazazi wako wanazuliwa uongo utakaa kimya?

Nachoshauri hiyo video ikiletwa hapa iachwe kama ilivyoachwa ile video "fake" ya Lwakatare.Na polisi wachukue hatua kama walivyofanya kwa Lwakatare.

Hii nchi si mali ya magamba wala watawala,wote tuna haki sawa kwa mujibu wa katiba ya nchi
 
Back
Top Bottom