Masterminder wa kummwagia tindikali Kubenea awa kichaa

Masterminder wa kummwagia tindikali Kubenea awa kichaa

Mzito Kabwela

Platinum Member
Joined
Nov 28, 2009
Posts
18,908
Reaction score
7,751
Habari zilizoifikia intelligensia ya Ngosha na kuthibitishwa bila ya shaka yoyote zinatuambia yule kijana wa usalama wa taifa aliyebuni na kuhakiki mpango wa kummwagia tindikali Kubenea sasa amechanganyikiwa na kuwa mwehu.

Kijana huyo mara baada ya kufanikisha zoezi ovu na kesi yake kufutwa kiaina, alipewa zawadi na uongozi wa juu kabisa wa usalama aende masomoni India. Masaibu makubwa yanamkuta huko, alianza kwa kulewa kupindukia, akawa akifanywa kinyume cha maumbile na Wahindi, hivi sasa amekuwa mwehu.

Wehu wake umekuwa wa manufaa makubwa kwetu kwa sababu anabwabwaja mambo mengi sana ikiwemo ule mkakati wake ovu alioutekeleza kwa Kubenea. Amethibitisha kwamba yeye ndiye alitafuta vijana wahuni kutoka Temeke, akawanunulia tindikali, akawaelekeza wakammwagie Kubenea ili akiwa kipofu, ashindwe kuendelea na uandishi.

Msepa amesema mwenyewe kwamba katika hatua za awali za mkakati wake nusura wahuni wake wamgeuke kwa kuwacheleweshea malipo kwa sababu ya uzembe wa kigogo mmoja ndani ya usalama ambaye tunaficha jina lake kwa sasa.

Tumefanya mazungumzo mengi na Msepa akaweka wazi uovu mwingine uliofanywa na wana usalama wenziwe dhidi ya Kubenea kwenye kuvamia ofisi yake ili waibe nyaraka ati zilizokuwa na maelezo ya account ya Kikwete, kwenye kuandaa majambazi wanne ili wamuue n.k.

Mkanda mzima wa Msepa tunao na tutauweka hapa mambo fulani fulani yakikamilika. Leo naweka picha yake akiwa amejikojolea vibaya mara baada ya kutoka kufanywa (kunradhi maneno si matusi)

Jambo moja la kujifunza, yanyomtokea Msepa ni funzo kwa wote wanaotumiwa na vyombo vya dola kufanya uhalifu. Vyombo hivyo vikishakutumia na kukuona huna thamani, vinakutekeleza na pengine kukuua.

Haya yatamtokea huyo kijana wa watu. Nimehakikishiwa kuwa uongozi wa usalama umepata habari za kubwabwaja za Msepa na sasa wanamuandalia haki yake.....

Hili liwe fundisho kwa wengine wote ambao wamekuwa wakijadiliwa humu kwamba wanatumika na usalama wa taifa.


attachment.php
 
Kama hii habari ni ya kweli basi - Once Goes Around! Comes Around!
 
Yale yale mambo ya kutunga swaga na kupotosha watu huo mtandao wake ni sawa na gazeti lake full uongo.
 
Kama hii habari ni ya kweli basi - Once Goes Around! Comes Around!

Sio kama ana act tu?, maana hao jamaa wanaweza kuwa character wa aina yoyote na muda wowote
 
huu ni umbea rudisha kwenye hiyo hiyo forum yenu ya -----------
 
Kuna watu wanamiliki viwanda vya kupika uongo. Na ndio huu uongo wenyewe
 
mkuu, JF ni kama bahari. Haitunzi uchafu. Labda huko mlikozoea uchafu ndo unadumu. JF wapo makini sana
Ni kweli mkuu jf ni mada zenye hoja tu wala siyo umbea na upotoshaji kwenye jamii kama ile mitandao ya kununuliwa na wanasiasa.
 
Mods ondoeni huu uzushi hapa jukwaani. Mnadhalililsha jukwaa. Cc invisible,melo,fang
 
Back
Top Bottom