Masterminder wa kummwagia tindikali Kubenea awa kichaa

Masterminder wa kummwagia tindikali Kubenea awa kichaa

tatizo watu wakipotea kwenye game wanatafuta umaarufu kwanguvu kubenea ana umaarufu gani apelekewe tiss acheni ushabiki usio na tija. watu wakikutaka hata masaa uchukui acheni watu na kazi zao.
 
Wakazi wa tegeta nyaishozi hasa waliokua wakipenda kupata kinywaji katika bar ya nyamachabesi,kabla ya tukio la kumwagiwa tindikali watakua na la kusema kuhusu huyo bwana,mtafteni mzee Ndimala Tegambwage ambaye alikua muhanga wa tukio muonesheni hii picha cause na yeye ni mkazi wa tegeta nyaishozi,atakacho waambia kitatosha kujua ukweli
 
hata ninyi mnaokanusha habari kama mnakanusha kwa unafiki wenu nanyi muwe vichaa na mropoke mengi zaidi!
 
Mleta hii habari acha uongo, huyo jamaa namfaham sana anapatikana pale kwa Azizi Aly. Huyo sio chizi bali ni mlevi wa siku nyingi ila kuhusu kuliwa NDOGO sina uhakika nalo. Ushauri. Tuache kupost vitu visivyo na ukweli kwani vinalipunguzia sifa jukwaa letu.
kweli kabisa kama huna cha kupost soma za wenzako usilazimishe kuonekana kuwa ume hit na thread fake, hapa kuna wasomi wachambuzi wa mambo, rudini fb.
 
ukiwa ccm lazma uanze kupinga hata ukweli jenga hoja ucpnge 2 km kweli je kueni wanaharakati nawazalendo co munabshia vi2 kwamaslah ya vyama nawewe mtoa mada je ni yakweli hayo ndgye2
 
Usalama gani wanafanya kazi zao kijinga ivyo kama unavyotaka kutulazmisha tuamini uongo na ujinga wako hapa.
 
Usalama wa taifa sio kazi,ni uchwara na kifo cha kujitaftia
 
Usalama wa taifa sio kazi,ni uchwara na kifo cha kujitaftia

Wanaosema huu ni uongo, uzushi mmefanya uchunguzi kujua kwamba ni uzushi au nanyi mnaingia mkumbo wa kusema uongo bila kuwa na uhakika? Kusema tu ni uzushi bila research haitoshi! Lakini pia kwa upande wa mtoa taarifa; umesema mtu huyo ni kichaa halafu unaleta mahojiano na mtu mlevi tena insane tuyaamini? Hivi kichaa anaweza kuwa credible source? Anyway, vyombo vya usalama vifanye uchunguzi na kuchukua hatua stahiki.
 
bado ipo...

Hata hivyo imeondolewa kutoka jukwaa la siasa(jukwaa la watu wengi) na kuletwa hili jukwaa la habari na hoja mchanganyiko.

Hii ndio mbinu nyingine ya kuficha thread kiana.
 
mkuu, JF ni kama bahari. Haitunzi uchafu. Labda huko mlikozoea uchafu ndo unadumu. JF wapo makini sana

Bado ipo mkuu. Ila huyo kijana muda si mrefu tutaskia amegongwa na gari, au amekunywa pombe kupita kiasi zikamuua..
 
Back
Top Bottom