Masterminder wa kummwagia tindikali Kubenea awa kichaa

tatizo watu wakipotea kwenye game wanatafuta umaarufu kwanguvu kubenea ana umaarufu gani apelekewe tiss acheni ushabiki usio na tija. watu wakikutaka hata masaa uchukui acheni watu na kazi zao.

Umesahau makala zake -----------? We vp?
 
Hao wanaomfanya nao watakuwa na matatizo, mbona hana hata mvuto?
 
Habari zilizoifikia intelligensia ya Ngosha na kuthibitishwa bila ya shaka yoyote zinatuambia yule kijana wa usalama wa taifa aliyebuni na kuhakiki mpango wa kummwagia tindikali Kubenea sasa amechanganyikiwa na kuwa mwehu.

Kijana huyo mara baada ya kufanikisha zoezi ovu na kesi yake kufutwa kiaina, alipewa zawadi na uongozi wa juu kabisa wa usalama aende masomoni India. Masaibu makubwa yanamkuta huko, alianza kwa kulewa kupindukia, akawa akifanywa kinyume cha maumbile na Wahindi, hivi sasa amekuwa mwehu.

Wehu wake umekuwa wa manufaa makubwa kwetu kwa sababu anabwabwaja mambo mengi sana ikiwemo ule mkakati wake ovu alioutekeleza kwa Kubenea. Amethibitisha kwamba yeye ndiye alitafuta vijana wahuni kutoka Temeke, akawanunulia tindikali, akawaelekeza wakammwagie Kubenea ili akiwa kipofu, ashindwe kuendelea na uandishi.

Msepa amesema mwenyewe kwamba katika hatua za awali za mkakati wake nusura wahuni wake wamgeuke kwa kuwacheleweshea malipo kwa sababu ya uzembe wa kigogo mmoja ndani ya usalama ambaye tunaficha jina lake kwa sasa.

Tumefanya mazungumzo mengi na Msepa akaweka wazi uovu mwingine uliofanywa na wana usalama wenziwe dhidi ya Kubenea kwenye kuvamia ofisi yake ili waibe nyaraka ati zilizokuwa na maelezo ya account ya Kikwete, kwenye kuandaa majambazi wanne ili wamuue n.k.

Mkanda mzima wa Msepa tunao na tutauweka hapa mambo fulani fulani yakikamilika. Leo naweka picha yake akiwa amejikojolea vibaya mara baada ya kutoka kufanywa (kunradhi maneno si matusi)

Jambo moja la kujifunza, yanyomtokea Msepa ni funzo kwa wote wanaotumiwa na vyombo vya dola kufanya uhalifu. Vyombo hivyo vikishakutumia na kukuona huna thamani, vinakutekeleza na pengine kukuua.

Haya yatamtokea huyo kijana wa watu. Nimehakikishiwa kuwa uongozi wa usalama umepata habari za kubwabwaja za Msepa na sasa wanamuandalia haki yake.....

Hili liwe fundisho kwa wengine wote ambao wamekuwa wakijadiliwa humu kwamba wanatumika na usalama wa taifa.

attachment.php
Mwenda wazimu anabwabwaja na sisi tunaamini- SAFI SAAANA
 
Sio kama ana act tu?, maana hao jamaa wanaweza kuwa character wa aina yoyote na muda wowote

Kama mtu anaweza ku act kwa kufanywa kinyume na maumbile,basi huyo hata akili yake si sawa'
 
Yaani wewe utunge hadithi utuwekee teja halafu ulete story zako hapa.....acha mambo yako hapa.....kama kweli nenda polisi utoe taarifa............kama huna uhakika na kitu kaa kimya.......uwe na akili ya kupima mambo kabla ya ku post

Back
Top Bottom