Bigbootylover
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 2,847
- 1,826
Hivi kwa nini mastaa hasa wa kiume wanapendwa na kina dada wengi, wazuri, wastaarabu lakini hawako tayari kuwa nao ila wako tayari kuwa na mahusiano na mastaa wenzao hata kama wanatabia mbaya, n vice versa is TRUE