Massage. . . .

Kaizer Ulikuwa umepotea sana mkuu. Glad to see you πŸ™‚πŸ™‚
Na nikuhakikishie tu wewe ndo umenirudisha hapa, uzi wa 2012 huu 8 yrs laterπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ.how are you?did you miss me? I DID
 
Na nikuhakikishie tu wewe ndo umenirudisha hapa, uzi wa 2012 huu 8 yrs laterπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ.how are you?did you miss me? I DID
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ kweli ni mida mrefu sana. Seems like forever ago 😏

I'm alright...can't complain much. What about you??? Everything alright?? Kukumiss nimekumiss sana kwakweli. That's why I got so excited kukuona jamvini.πŸ™‚πŸ™‚
 
Hawa jamaa kuturudishia kitufe cha thanks wamecheza sana. Can I come for a massage?😊
 
Mungu akinisaidia kupata Mwanamke mwenye AKILI TIMAMU.. bas ntaenjoi Maisha...

Najilaza ktk Meza ya sebuleni na kitaulo changu nakandwa mgongo... Swafi... Kbs
 
Mungu akinisaidia kupata Mwanamke mwenye AKILI TIMAMU.. bas ntaenjoi Maisha...

Najilaza ktk Meza ya sebuleni na kitaulo changu nakandwa mgongo... Swafi... Kbs
🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Kwani wenye 'akili timamu' ni wapi na wasio ni wapi charldzosias
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…