Sunshine OLD
Member
- Jul 17, 2008
- 51
- 9
Bwana Kikahe jina sahihi ni massage parlour sio saloon wala salon,nitakutajia baadhi za bei nafuu manake kuna za mpaka laki.
1.Soft touch-Makumbusho kituoni 15,000/-chumba cha kawaida,25,000/-unawekewa sinema na kuoga(self contained),35,000/-unafanyiwa massage ndani ya jacuzzi.
2.Miriam-Victoria nyuma ya knight support 20,000/-
3.Revonia na Libra-TXmarket k'ndoni 15,000/-
4.Equal-manyanya k'ndoni 15,000/-
5.Magic-namanga 20,000/- ukitaka sauna baada ya massage unaongeza 5,000/-
6.Lisa-regent mkabala na Zantel utaona bango 20,000/-,sauna +5,000/-
7.Full dose-upanga karibu na Diamond 15,000/-
8.BMK-15,000/-
9.Lily-nyuma ya bestbite 20,000/-
Massage zote hizi ni za saa nzima na kuna 'hard' ya lotion au oil kuondoa maumivu,stress na tention,na 'soft' ya poda hii ni relaxation na sensual massage.Kwa maelezo kuhusu huduma za ziada tuma PM(kina fidel80,masanilo,yoyo hahaha!) sitaki kuharibu biashara za watu.
Kwa wale ambao pesa sio tatizo jaribuni kwa Mercy G-town centre karibu na hindu mandal 50,000/-.Massage zote hizi ni za wamatumbi wenzetu sijataja za wachina au mahoteli makubwa.
Am glad i could be of help Mkuu,Shy alitutajia sehemu zote za kuwapata 'night sisters' nami nimeongeza sehemu za massage tungepata mwingine wa kutueleza kumbi zote za burudani wana JF wasingehangaika.
Mimi nataka sehemu ambayo baada ya kufanyiwa massage niweze kupiga bao angalau moja.
mimi nataka sehemu ambayo baada ya kufanyiwa massage niweze kupiga bao angalau moja.
Mimi nataka sehemu ambayo baada ya kufanyiwa massage niweze kupiga bao angalau moja.
Tutofautishe Massage Palours na madanguro bubu masquarading as Massage places.
Genuine palours hakuna huduma za ziada kama hizo...ila ukiingia hizo nyingine......hii imefanya massage places kutafsirika vibaya!
What is so special kikahe kufanyiwa hiyo massage? Well kama ukija Moshi nasikia Kindoroko Hotel Kuna hudumahiyo au ukienda shant Town just before International School kuna wachina wanafanya massage utaona kibao chao karibu na Panda chinese. Kwa dar mimi sijui huo mji siujui. May be other JF members will help you
editing inakushinda mzee? inashusha kiwango mkuu.tulia uandike utazidi kueleweka.Huyo Kimori sijui kwanini kaniuliza hivyo.
Smamhani Mwalyambi30, Mimi kidogo ni mshamba ila baada ya kujadiliana na friends hapa wamenielimisha. nasikia ni raha sana and its a ver good way of relaxing and releasing tension. I would aso like to taste the thing soon.Wataalamu tuelekezeni exactly where the place is, hiyo BHESCO iko wapi? thanks and sorry for any inconvinience I may have caused