Ben Mugashe
JF-Expert Member
- Oct 9, 2008
- 999
- 618
Ingawa hii thread ina miaka 8 sasa
naomba utusaidie nasikia Nairobi wameipitisha sasa kuna Madanguro yenye Leseni
au Biashara hii ya Chap-chap ni halali kwa Mji wa Nairobi kweli? au uzushi
Wewe una saluni yako? Maana hizi inaonyesha hata mwenyewe huzijui vizuri..mimi naweza kuzifuata hukohuko zilipo.
Mimi huwa nimezoea kupata hii huduma japo mara moja kwa miezi mitatu..hii ni tiba kwangu. Toka nirudi hapa sijawahi kupata huduma nzuri nikaridhika. Kuna sehemu nilijaribu tena sio vichochoroni nikakutana na hayo ya extra, ila siwezi kuzitaja hapa saloon zenyewe.
Ha ha haaaa!!!...mimi sina Salon ila mimi ni mdau wa mambo ya salon na urembo kwa ujumla. Ngoja nikutajie sehemu 2 ambazo hautojutia pesa zako na mda wako.
Nenda Shoppers Plaza floor ya pili kuna massage parlour inaitwa Touch Spa. Au nenda Million Hairs Salon (maybe this is the best salon in Dar). Hizi salon zote mbili ziko Mwai kibaki road Mikocheni kwa Mwl.nyerere.
Zipo nyingi sana...wewe unaishi maeneo gani? I mean nataka nikupatie unafuu wa masafa
Barafu, nakusubiri uniletee hizo comment ambazo zinaonesha unafiki wangu ili tuendelee...karibu sana mkuu
Mnyepe, nenda sehemu moja kati ya hizo mbili...hakika hautojutia pesa zako na mda wako. Wana Aroma therapy massage,Thai massage,Deep tissue massage na Hot stone massage. Hizo ni very professional salon na wanakupa very professional service.

Ofisini kwenu Massage mnafanya kihasi gani? Taja aina zote za massage na bei zake.
Nataka hio ya milion hairs nielekeze ilipo. Roughly inaweza kuwa bei gani hivi kwa saa au huku mnalipaje?
Kama ndy hao wako Karibia na kwa nyege re
Wana bei haoooo
Sawa dada ila naona umegoma kutaja bei..sawa ntakwenda hio ya milion hairs halafu ntaleta mrejesho hapahapa
Ofisini kwenu Massage mnafanya kihasi gani? Taja aina zote za massage na bei zake.
Kwa kawaida bei zao huwa hawazitoi kwenye mitandao...fika pale utapewa bei zao na utauliza na vitu vingine.
MillionHairs imekaa poa sana hiyo karibu na Regency....Sema Massage bei zake zinakuwa za juu sijui kwasababu wengi wakija hapo wanatoa tu pesa kwasababu vichwa viwili vinafanya kazi kwa wakati mmoja so lazima kichwa cha juu kizubae.