Wahateia Mlalo??? Mbwanga akunda aho Gati.......
Hangi ne adahe??? Kuhaghoshoa.....
Daby aitie hi? Mbona haoneka??? Umtendieze ma iwe
Wau
Kasie
Nzatamiwa kusikia wahateia mlalo....wahateia kule bondeni??
Hhahahahahahaaaaaaa looh
Ngoja nimuite rafiki yangu
mshana jr aje kunisaidia maana nyie washambaa mkiungana mtanizidi nguvu.
Wamanya Kasie si mshambaa eeh .... Kasie ni mnyamwezi ila amanya lugha duu
Mlalo n kwa watumba zangu, mtumba mkuu ahateia Mlalo na Mkuzi kuelekea Kifungilo, ne mtumba mwingine ahateia Mazinde na Soni.
Huyo mbwanga eka duu, ataka mikuki ya kimasaia ne nimwambia imi ni mami ako, ekazana akunda aha gati.....
Gati gaati, gati ya kuku??!! amaaa!!! aaah akaghoshoe huko ndima kwe hangi n Zanzibai hangi n Pemba, emanya mwee.
Daby yu kikosi maalum kwa uchaguzi uho Keiii (Naiii) wajua vile uchaguzi u mwaka huu, yuko na kazi mob. Hata hii interview ya leo amekuja tuu ni vile amuheshuu Stun, na ye Daby hana makuu. Hivo haonekana yuu kazi maalum kwa maandalizi ya uchaguzi uko Naiii.
Uwooo nimtendee mbwai Kasie mie, hena makuu. Empa nyama ya ulimi, naipika mapishi yote uyajuayo... mchemsho, rosti, kavu kavu, kubanikwa, kuchomwa, steam ya maji, steam ya mvuke..... aaah atulia tulii. Namkundia sana Daby huyu mbwanga aleta fujo tuu ahaa.
Niho S.A. ndima duu ne kusafii sehemu mbai mbai, Mlalo nhateia Desemba.