moses Mwanja
JF-Expert Member
- Oct 8, 2016
- 534
- 463
ELCLASICO karibu na kituo cha sinza mor ni balaa sana paleMkuu hebu toa maelekezo wadau tukapate huduma. Taja moja yenye vimwana vikali.
Mkuu hebu toa maelekezo wadau tukapate huduma. Taja moja yenye vimwana vikali.
Bei gani mkuu ili nyingine tuziache nyumbani wasije wakapurusaELCLASICO karibu na kituo cha sinza mor ni balaa sana pale
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ka fees kidgo ili arushiwe materialsMamii,usinifikirie vibaya,nina nia nzuri na nina ujuzi nilisomea Thailand holistic massage,so usifikiri ukija PM unakuja kutongozwa,ila kumbuka kuna fee utalipia kidogo ili nikurushie materials.
[emoji23] [emoji23] Unatutisha wengi ujue!!Sijui kama hili ombi lako litasikilizwa....
Utacheat tu!!!!
[emoji15] Toba! Sijui wife naye anawaza hivi!!? Siendi ng"o!! Kupamba gazeti la shigongo na uzee huu nani anataka!!Siku nikimkuta Mume wangu anashikwa shikwa sijui ndio massage atajuta ..
Nyambafff starehe za kijinga.
Ndo hivo..... Teh[emoji23] [emoji23] Unatutisha wengi ujue!!
wewe unasubiri atoke .....pi kichwani? Majangaaaaa aende tu. wacha arukie visivyorukiwa atoke na chu** kichwani.
yahwewe unasubiri atoke .....pi kichwani? Majanga
Kama we umshikishiki na kumpa hizo Massage lazima atafute mahali ambapo atashikwashikwa na kuondoa uchovu wa wiki nzimaSiku nikimkuta Mume wangu anashikwa shikwa sijui ndio massage atajuta ..
Nyambafff starehe za kijinga.
hadi business card? hao balaa aiseeWanamikono laini wale madada wa sallon sijapata ona yani anakuchokonoa sikio kwa kidole huku titi zikiwa usawa wa sura yako huku wakiongea kwa kudeka...uzuri siku hizi wengine wana hadi business card
hapa ukiambiwa hata kunyoa laki utatoa si mchezoHalafu dada wa massage ndo kama huyu
Kwa hiyo kama na sisi mwanaume zetu hawajui kuturidhisha kitandani tuende tukalalwe na wanaume wengine??Kama we umshikishiki na kumpa hizo Massage lazima atafute mahali ambapo atashikwashikwa na kuondoa uchovu wa wiki nzima
Kwa hiyo kama na sisi mwanaume zetu hawajui kuturidhisha kitandani tuende tukalalwe na wanaume wengine??
Acheni ujinga
Kuna moja iko pale Sinza makaburini.