amina ngalo
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 309
- 170
Wanawake wenzangu hii ni week end inaanza leo kuna hizi saloon za kiume ambazo zinawahudumia wanaume kwasehemu kubwa zimekuwa majanga
Mwanaume akishaa anza kushikwa anakubali kila kitu nasikikia siku hizi wanamaliza huko huko

Serikali itusaidie kutenganisha kati ya saloon na maeneo ya massage maana kuzichanganya hizi sehemu moja imesababisha sisi wenye ndoa kuibiwa bila woga maana wakiingia ndani anahudumiwa bila woga wala wasiwasi
Wanawake week end hiyo tuchunge mizigo yetu ..