wakati pinda akijiaandaa kufukuza madaktari,taarifa zinaniambia kuwa madaktari wanajiaandaa kujiuzulu kwa pamoja(mass resignation).
Hii inamaanisha madaktari wote nchini pamoja na wale wa hospitali za private wanaachia fani yao ya utabibu.
Wewe bahili changia jf siyo kujaza server tuMnangoja nini? anzeni.
Wewe bahili changia jf siyo kujaza server tu
hiyo haiwezekani hata siku moja.acha maneno ya kwenye kahawa.nchi hii hawawezi maana maisha yamewabana watu wana familia,wanategemea waende ofisini ndio familia ipate riziki.labda wewevpeke yako utajiuzulu.bank account hazina peza mpaka mwisho wa mwezi ndio mshahara uingie na hakuna business nyingine ya kuingiza kipato.hawa ninaoongelea ni kama 90% hivi.wajiuzulu familia zile wapi??nawaunga mkono!
Haiwezekani kodi yangu imlipe mbunge wa mtera lusinde a.k.a mtambo wa mitusi sh. 10,000,000/= kwa mwezi badala ya kuwalipa madaktari, wauguzi na waalimu,
Omulangi umenena. Watawafukuza au wakijihudhuru, utalaamu unabaki kuwa wao, na vyeti hawawezi kuwapokonya. Dr's msirudi nyuma tafadhari!!Hata kama ni speculation lakini ni logical. Madaktari ni watu wenye ufahamu mkubwa fani yoyote watakayoingia watafanikiwa. Wakiamua kuingia bungeni kama Kigwangala patakuwa hapatoshi. Kama ni biashara si lazima kufanya biashara ya hospitali. Wanaweza kufanikiwa katika enterprise yoyote kuliko kudhalilishwa na kuishi kwa hofu!!!
Nasema serikali hii haifaiMungu akufungue ujue unacho ongea.......ukikua utasema baada ya kufikiri km mtu mzima, bila shaka hujawahi tibiwa hospitali ya mwananyamala, temeke au hata amana ambako hakuna dawa, hata karatasi ya kuandikia maelezo ya mgojnwa hukosekana mara nyingine, dawa ni ni ndoto kupata, wagonjwa kulala chini, wajawazito kulala mzungu wa reli pale mwajnanyamala, temeke na amana hapa ni dar huko mkoani je, ni hatari, uukiumwa nenda huko, nasisitiza ukikua utaongea
km mtu mzima, mazingira duni, ufanye kazi kwa masaa 24 kwa elfu 10, hata nauli na chakula cha usiku huo haitoshi......nspita tuuu
Mimi nimejiunga lini? Nae wewe una miaka 5 JF Mimi siku 5 lakini hazitafika siku 20 kabla sijawahi gold lakini wewe umeishia kujaza server tu usiku na mchana kweli wewe unahitaji banNaona mchango wako mkubwa sana, naona hapo "Platinum Member". Kwi kwi kwi teh teh teh!
Not possible
wakati pinda akijiaandaa kufukuza madaktari,taarifa zinaniambia kuwa madaktari wanajiaandaa kujiuzulu kwa pamoja(mass resignation).
Hii inamaanisha madaktari wote nchini pamoja na wale wa hospitali za private wanaachia fani yao ya utabibu.