wakati pinda akijiaandaa kufukuza madaktari,taarifa zinaniambia kuwa madaktari wanajiaandaa kujiuzulu kwa pamoja(mass resignation).
Hii inamaanisha madaktari wote nchini pamoja na wale wa hospitali za private wanaachia fani yao ya utabibu.
hahahahahaha hadi wa private,atapona mtu kweli hapo.......na airport zote wafanyakazi wagome basi ili wenye kukimbilia nje nao ngoma iwe droo sasa.......coz hapa anae umia ni maskini......