Mimi nashangaa kama mhariri anaruhusu kitu chenye ukakasi hv kuingia mtaani.
Hata mhariri aliyepitisha katuni hii ana kesi ya kujibu.
Ingechapwa katika gazeti la udaku ningeelewa.
Lakini Mwananchi?
Mhariri umetia kinyaa wateja wako.
Nahisi mtoa mada ndiye anataka kuleleleza matusi humu ndani.Kwani "Umoja wa Kumpongeza Magufuli" ni matusi? Hata kifupi chake U.K.M hakiwezi kuwa matusi.
Sikia ata kama fikra ni mgando lakin hiyo katuni haileti maana nzuri ata ikiwa ni UKM hilo wazo ni la baadae sana
Ebu kwanza toa tafsiri yake kifupi kama Wenzio walivyofupisha Umoja wa kupambana na Udikteta Tanzania(UKUTA), kisha tuendelee.View attachment 387395
Huyu ni mtu mbaya sana ata kama ni uhuru wa vyombo vya habari hii ni too much. Hiyo katuni alikua anamaanisha nini!! si ni matusi kabisa haya. Huwezi fanya uhuni kwenye gazeti kubwa kama mwananchi tena kwa kutaka kufupisha kitu ili liwe tusi na jina la Rais likiwemo hapo hapo.
Huyu mtu ni jipu ashauriwe kufanya kazi kwa weledi wataaluma yake aache kuleta uhuni wa kijiweni kwenye magazeti.
hebu sema matusi yepi...? je hao uvcccccmmm hajatayarisha hayo maandamano...?Hapo analeta mambo ya vijiweni sio kazi hiyo
Ww ni miongoni mwa. Madikteta uchwara uchwara... lakini akipewa discipline kuna wapuuzi watasema demokrasia inavunjwa ... Hii nchi acha tupelekane kibabe walimchezea sana JK.
View attachment 387395
Huyu ni mtu mbaya sana ata kama ni uhuru wa vyombo vya habari hii ni too much. Hiyo katuni alikua anamaanisha nini!! si ni matusi kabisa haya. Huwezi fanya uhuni kwenye gazeti kubwa kama mwananchi tena kwa kutaka kufupisha kitu ili liwe tusi na jina la Rais likiwemo hapo hapo.
Huyu mtu ni jipu ashauriwe kufanya kazi kwa weledi wataaluma yake aache kuleta uhuni wa kijiweni kwenye magazeti.
fanya kazi mwenzako yuko kazini acha kulia-lia.Hapo analeta mambo ya vijiweni sio kazi hiyo
Kumbe hajui basi mfikishie ujumbe katuni yake inaukakasi sanaWewe ndo wasema, Masudi hajasema, sasa kama wewe umeona tusi, basi utuambie Kuwa ni tusi. UVCCM walisema maandamano yao ni ya umoja wa kumpongeza Magufuli.... Kipanya kahoji, kwann maneno yote hayo kusiwepo kifupisho? Wewe ndo unatuletea jibu na kutuambia Kuwa ni tusi.. Kipanya hajui ujuavyo wewe.... [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Dah! we kweli ni Jipu!
shida ni Malcolm akitumia hiko kifupi atakacho kipata kwa kufupisha sentensi ya babae.Mkuu....
Ebu naomba unitafsirie maana halisi ya katuni hii, alafu uniambie nini kosa la Kipanya.
Maana tayari nimeshaanza mambo yangu yaleee....[emoji39] [emoji39], na nikianza kulewa hua nakua mgumu sana wa kuelewa
sawa mkuuKama una watoto au ata wadogo zako wa form2 wape wakufupishie halaf ndo utaelewa hyo katuni ina impact gani kwa jamii