ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,586
Jambazi lile dadeki 40 yake ipo walahi tena!Nyoka yupo,si yule wa nyoka wa makengeza mzee wa Bariadi na alishatoa tahadhari juu ya taratibu za kisheria
Jambazi lile dadeki 40 yake ipo walahi tena!Nyoka yupo,si yule wa nyoka wa makengeza mzee wa Bariadi na alishatoa tahadhari juu ya taratibu za kisheria
Jambazi lile dadeki 40 yake ipo walahi tena!
May he reign JPM!Move on john pombe
Ni kweli, ndo maana ya F@SIHIMkuu hii ni kazi ya sana, Huwa hainaga tafakuri moja. Unatafsiri kulingana na upeo na uelewa wako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyoka yupo,si yule wa nyoka wa makengeza mzee wa Bariadi na alishatoa tahadhari juu ya taratibu za kisheria
Wa madini ni ACACIA and CoWa madini nadhani ni mh muhongo ndo anafukuzwa hapo kuwa huwa anajitafutia matatizo wakati wenzake wapo cul tu.....so waziri wa madini katimuliwa hapo
Kumbe! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo ni mbunge wa ccm anayejitokeza kuzungumzia mchanga wa madini kwa lugha ya kumpinga kiongozi mkuu "simba" wakati wao mang'ombe walipaswa kuunga mkono tuu
Na yeye ndio alisaini mikataba mingi sana mibovu inayoitesa nchi hii akiwa mwanasheria mkuu wa serikali.Nyoka yupo,si yule wa nyoka wa makengeza mzee wa Bariadi na alishatoa tahadhari juu ya taratibu za kisheria
Ukimpa hicho kitengo hatutaona ubunifu wake tena gazetini.Huyu jamaa ni bonge la mbunifu. Laiti mimi ningekuwa ni mwenye mamlaka na nchi, angepata kitengo fulani
Wa madini nadhani ni mh muhongo ndo anafukuzwa hapo kuwa huwa anajitafutia matatizo wakati wenzake wapo cul tu.....so waziri wa madini katimuliwa hapo