Masoud kipanya tena: Ubunifu mkubwa

Masoud kipanya tena: Ubunifu mkubwa

rr4

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
3,964
Reaction score
5,893
Screenshot_2017-06-07-07-30-14-1.png

Nadhani hao Mbogo wengine wanaweza kuwa viongozi wa nchi nyingine Afrika wanatushangaa tunavyotafuta sehemu za siri za nyoka.
 
Why wasiwe wa CCM wenzie.
Na hapo hakuna Nyoka

Mkuu hii ni kazi ya sana, Huwa hainaga tafakuri moja. Unatafsiri kulingana na upeo na uelewa wako.
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Huyu jamaa ni bonge la mbunifu. Laiti mimi ningekuwa ni mwenye mamlaka na nchi, angepata kitengo fulani
 
Why wasiwe wa CCM wenzie.
Na hapo hakuna Nyoka
Nyoka yupo,si yule wa nyoka wa makengeza mzee wa Bariadi na alishatoa tahadhari juu ya taratibu za kisheria
 
Hii ni vita ya mtu mmoja, wakati yeye anapambana na adui mwenye mabavu wengine wanashangaa shangaa tu na wengine wanatoa maneno ya kumkatisha tamaa kana kwamba akishindwa wao watabaki salama.
 
Wa madini nadhani ni mh muhongo ndo anafukuzwa hapo kuwa huwa anajitafutia matatizo wakati wenzake wapo cul tu.....so waziri wa madini katimuliwa hapo
 
kuna wakati mnyama mla nyasi humshinda mnyama mla nyama.
Mara nyingi tu, kutawaliwa kubaya sana, hata kizazi chako chaendelea kuwa na fikra kama bado ni koloni la nchi! Kinawoga, kinakuwa hakijiamini, chepesi kudanganyika na kuuza nchi kwa shs. Kipo kipo tu na sera nyepesi zisizo na tija, chapambana kwenye mambo yaliyo popular muda huo na kupotea pindi kikiona kilikosea, hakina mwelekeo wala dira, kipo kwa leo na sio kesho, hakina uadilifu wala kuwajibika, usishangae hata fedha zake kuhifadhiwa kwenye akaunti binafsi, ukiwa na uchu wa madaraka kitakupokea na kukusugua uonekane msafi hata kama wanuka, wanaofaidika ni wachache na sio wengi..
 
Preach!
 
Back
Top Bottom