Warren T JF-Expert Member Dec 5, 2014 664 409 Jan 6, 2016 #1 Masoud Kipanya endelea kuelimisha jamii mkuu! Attachments 1452076747237.jpg 31.2 KB · Views: 83
nyumba kubwa JF-Expert Member Oct 8, 2010 10,309 8,378 Jan 6, 2016 #4 Dumelang said: Baada ya kampeni?...... Click to expand... Linakuja kuvunja nyumba...kwi kwi kwi...
miss chagga JF-Expert Member Jun 7, 2013 57,815 49,031 Jan 6, 2016 #5 ha ha haha sasa linavunja nyumba
Mkwaha JF-Expert Member Oct 4, 2012 1,688 3,181 Jan 6, 2016 #10 Hadi Muda Huu Itakua Kuna Watu Wanajutia Kura Yao.
Chakaza JF-Expert Member Mar 10, 2007 40,334 72,798 Jan 6, 2016 #11 Hata watu walipoambiwa chagueni Tingatinga wakadhani ni kwa ajili ya barabara zao kumbe ni kwa nyumba zao
Hata watu walipoambiwa chagueni Tingatinga wakadhani ni kwa ajili ya barabara zao kumbe ni kwa nyumba zao
kenshi JF-Expert Member Jul 12, 2015 1,976 1,967 Jan 6, 2016 #12 litakuja tena kuchonga barabara 2019 au 2020. hii si nchi ya amani tukichagua upinzani amani itapotea
litakuja tena kuchonga barabara 2019 au 2020. hii si nchi ya amani tukichagua upinzani amani itapotea
Mafikizolo JF-Expert Member May 8, 2014 3,487 1,625 Jan 6, 2016 #13 Hahahahahaha kazi ipo aseeee fisi kakaniziwa bucha
Leonard Robert JF-Expert Member Apr 22, 2011 11,093 7,330 Jan 6, 2016 #14 Chaguo lao milele..waisome namba sasa..magufuli mtu wa maguvu sio.....
leipzig JF-Expert Member Jan 9, 2013 2,766 1,707 Jan 6, 2016 #15 Magufuli mbele kwa mbele,si muda mrefu ujao watakupongeza kwa kuwaondoa mabondeni kwa nguvu kwa Elnino inayokuja!
Magufuli mbele kwa mbele,si muda mrefu ujao watakupongeza kwa kuwaondoa mabondeni kwa nguvu kwa Elnino inayokuja!
Hunyu JF-Expert Member Aug 19, 2014 4,774 4,323 Jan 6, 2016 #18 ccm ni ile ile ooo ni ile ile x2 Holaaaaaaah
mseminari mdogo JF-Expert Member Aug 18, 2011 228 146 Jan 6, 2016 #19 Hakuna Mtanzania atakaye vunjiwa nyumba yake.
Inside10 JF-Expert Member May 20, 2011 28,961 30,279 Jan 6, 2016 #20 Kibonzo hiki ni mfano wa siasa za nchi yetu, yaani mchoraji yeye na mimi uelewa wetu ni mmoja haswaa!
Kibonzo hiki ni mfano wa siasa za nchi yetu, yaani mchoraji yeye na mimi uelewa wetu ni mmoja haswaa!