Masoud Kipanya katika ubora wake

herzegovina

JF-Expert Member
Oct 28, 2015
3,129
4,712
Kwa kibonzo hiki, Naamini kabisa Masoud ni mmoja kati ya watu wenye akili zaidi hapa nchini kuliko hata maprofesa wetu uchwara.


4754e6f78c57a0a44a8ff95b248934fa.jpg
 
Kwa kibonzo hiki, Naamini kabisa Masoud ni mmoja kati ya watu wenye akili zaidi hapa nchini kuliko hata maprofesa wetu uchwara.
.
Wewe ndo umejua leo, jamaa anaakili za kuzaliwa, hii hata usome vipi huwezi ipata. Hiyo ni bahati ya 'genetic combination' ambayo inatokea tuu kwa kudra. Jaribu kumsikiliza hata akiongea utaelewa nachokisema.
 
Mie hapo naona siasa ndo zimesababisha yote haya, siasa ni sehemu ya maisha ila ni mbaya sana hasa kama mtu hajui kuwa SIASA NI SANAA, akibeba hasira na kumchukulia uhalisia ndo wanaishia kutungua risasi binadamu badala ya nguruwe..... hawajui POLITICS IS GAME.... PLAY IT WELL WITHOUT HARM OTHERS.... farewell Babu JMK.
 
siasa ni mchezo mchafu
sio tanzania pekee damu nyingi za watu wasio na hatia zinazomwagika dunian leo hii chanzo chake ni siasa
 
Chadema wanaonesha hali ya damu wakati polisi kuna kijana kuonesha kwamba wanataka amani au kuna amani au hawataki mjadala mkali kuhusu lissu
 
Back
Top Bottom