Masoud Kipanya katika ubora wake

Masoud Kipanya katika ubora wake

Ok mkuu, we umeilewaje?
Kwa kifupi kabisa polisi na CHADEMA wanasukumiziana damu ya lissu. (Polisi hatakiwi kucheza game ya lissu na chadema)

Hivyo watu wasiojulikana na shambulio hilo wataendelea kutojulikana kwani polisi (WENYE DHAMANA NA MAMLAKA YA KUCHUNGUZA) wameamua kushindana na CHADEMA.

Otherwise ni kuwa polisi wanaamini kuwa watu wasiojulikana wapo CHADEMA.

Ukiona vyote hivyo havieleweki....summarize namna hii "POLISI SIO CHAMA CHA SIASA"
 
Tatizo la viponzo bhana unaweza kuruka huku kumbe Mpira umepigwa kule. Yaani vibonzo being classical does not guerrentee them to be classic
Ndiyo maana nimesema Masoud ni mtu mwenye akili nyingi sana. Hicho kibonzo kipo kama kinatupa "madongo" pande zote mbili...kinaweza kuwafurahisha hata wasiotakiwa kufurahi

Ishu hapo ni ndogo tu....Je, polisi nao wamekuwa wanasiasa mpaka kushindana na CHADEMA? Jukumu lao ni kuwatafuta wasiojulikana sio kukichafua chama cha siasa
.
Looking at the picture, the sum of the areas covered with blood shed on both sides of the board, one can see there is more blood on Chadema side as is on Polisi's.
 
Kwa wale watabe wa draft dar tushaelewa na hiyo formula iliyotumika inaitwa ndomo mbili,ni sawa na kusema adui kazuia kete zako hivyo haziendi king na unaamua kumvizia ili umtoe mstar.Adui mjanja yan ukitua mwisho nae mwisho na ukitua kati naye kati
 
Ndiyo maana nimesema Masoud ni mtu mwenye akili nyingi sana. Hicho kibonzo kipo kama kinatupa "madongo" pande zote mbili...kinaweza kuwafurahisha hata wasiotakiwa kufurahi

Ishu hapo ni ndogo tu....Je, polisi nao wamekuwa wanasiasa mpaka kushindana na CHADEMA? Jukumu lao ni kuwatafuta wasiojulikana sio kukichafua chama cha siasa
.
kama umemfuatilia KP kwa miaka kadhaa utagundua yuko kiuharakati zaidi na anachukia ufisadi wa watu wachache. kwahiyo unaweza kuona mrengo wake haupo kichama zaidi ya kiuzalendo, ndiyo maana anapiga kotekote.
 
Back
Top Bottom