Masoud Kipanya: Hii ndio CCM mpya

Masoud Kipanya: Hii ndio CCM mpya

aisee..... sasa uhuru upo wapi mbona upo mikononi mwa wenye nguvu..!!!
 
lile jembe litakuwa rato au ibeleshi, ila hiyo rungu sujui bomu au ngumi
 
Kama kawa kama dawa. Pita ndani ujipatie simu ya kijanja yenye watsap fesibuku na twita kwa garama ya elufu kumi na ine tu. Karibuni sana wateja

Simu zetu ni toleo jipya la mwaka 2018
 
Mabadiliko kutoka Jembe na Nyundo kwenda Jembe na Rungu. Sasa elewa kazi ya rungu ni nini.


Tazama vizuri ni rungu hilo!!? Kwa macho ya 3D ni zaidi ya hapo
 
Jembe lililochakaa na kubadilika kuwa reki na glovu.
Nembo mpya,chama kipya?
 
Hapo kuna UJUMBE mzito kwa wenye kufikiri kwa kutumia BONGO zao...Masudi Kipanya is very bright&Talented Political Cartoonist!
Sure,...it's a reflection of the same party under the new office barriers.
 
Wanakupiga na NYUNDO ya kichwa unakufa, wanatumia JEMBE kuchimba kaburi lako.
 
Back
Top Bottom