Masoud Kipanya: Hii ndio CCM mpya

Masoud Kipanya: Hii ndio CCM mpya

Ni kuwa chama kimejaa kina tyson
Wapinzani siwaelewi mbona, kama mmeona Kuna mazaifu pangeni mikakati muiong'oe CCM 2020 sio kungata midomo na kuedit maneno ya viongozi wa ccm daily
Daily mnaonesha kufeli kwenu kila jambo na kudhihilisha wazi kua upinzan mpo kwa ajili ya madili tu, amna polite kabisa. 😀
CCM OYEEEEEEEEEEEEEEEEEE
JPM OYEEEEEEEEEEEEEEEEEE
MAKONDA OYEEEEEEEEEEEEEE
Wapinzan pwaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nabii wa uongo pwaaaaaaaaaaaaaa
Kamanda feki pwaaaaaaaaaaaaaaa
 
Soma Biblia, Yeremia 51: 20 Wewe u rungu langu na silaha zangu za vita; kwa wewe nitawavunja-vunja mataifa; na kwa wewe nitaharibu falme;
Viva Rais Magufuli umechaguliwa na kupatikana kwa kusudi la MUNGU kwa majira haya na nyakati hizi! Tunaendelea kukuombea Mungu akupe nguvu na ujasiri katika utumishi wako!
 
Af kule Instagram kuna taarifa kuwa jamaa haileweki yupo wapi? Karipoti millad ayo na mange kimambi.........
 
Nyundo kwenda Jembe na Rungu. Sasa elewa kazi ya rungu ni nini
Ndugu yangu angalia vizuri.Hiyo kitu Nyeusi siyo Rungu. Kama unaufahamu vema mchezo wa ndondi, hiyo kitu ni Gulovu (itumiwayo na abaondia wakati wa Kupigana). Na hilo jembe lina makali kama ya KISU....Tafsiri ianzie hapo..
 
ameshanyakuliwa nini,?
IMG-20180101-WA0027.jpg
IMG-20180101-WA0026.jpg
 
CCM mpya kazi yake ni kuanzisha Vita na raia wema wasio na hatia
 
Back
Top Bottom