Masoud Kipanya: Hii ndio CCM mpya

Masoud Kipanya: Hii ndio CCM mpya

Mabadiliko kutoka Jembe na Nyundo kwenda Jembe na Rungu. Sasa elewa kazi ya rungu ni nini.
Siyo rungu mkuu angalia kuna cheche zinatoka mithili ya sound waves...kuonesha hiyo siyo rungu ni microphone
 
Nikiangalia Kwa makini naona kama ni zile wanazovaa mabondia then naona kama ni ka Bomu kakurusha Kwa mkono...kanatoa Cheche..mmmh NADHANI UJUMBE UMEFIKA
 
Uzuri wa kipanya akigeuza upande wa Chadema, anashambuliwa
 
Back
Top Bottom