Masoud Kipanya hii haiko sawa

boti ikipinduka inazamisha wote waliopo ndani yake
 

iko wapi sasa unatoa povu wakat picha yenyew hamna.... Kama huwez kutuwekea ushahidi ulikuwa huna maana ya kuandika uozo hapa
 
Mtoa thread ni wale hata ukimwambia sura kama tofali analia mpaka kugoma kula hahahaaaaa. Hiyo katuni ndugu yangu
 
Kama hupendi usinujue gazeti, unaweza kupiga kura ya kutokuwa na imani na gazeti hilo kwa wallet yako.
 
Huu ni wakati wa ukweli na uwazi si mambo ya funika mwanaharamu apite hizo ni wakati huuuuuleee!!!...Wachora vibonzo choreni kila kitu watanzania waone maovu yao na matendo yao..😛eace:
 
iko wapi sasa unatoa povu wakat picha yenyew hamna.... Kama huwez kutuwekea ushahidi ulikuwa huna maana ya kuandika uozo hapa

Mbona imewekwa hapo juu!! Kuna mtu ana I'd ya Mcubic.

Mandla.
 


kwa kuwa ni health professional....naelewa wazi Gentamycine ni dose ya nn...una haki ya kutoka povu...! pole sana getwell soon!!..ungefanana na masoud walau ingekuwa powa.....msimamo wangu uko pale pale....mchoro auko sawa...na jamii yangu pamoja na hii ya humu Jf kuna watu na viatu...
 
hivyo vidole vya katikati ndio kabisa vimeharibu kabisa
 
Masudi kipanya hii ya kidole cha kati haiko sawa, michoro yako daima ni ya busara anaeweza kutafisiri hata mtoto mdogo. Hapa ulikosea, binafsi sikuridhika!
Kila siku Kikwete anatukana humu JF mbona husemi?
leo kidole tu tena cha kati Lowasa kajigeuzia na membe vilevile mnaleta POVU
kuchora si kuandika kwa kubofya vifungo keybody
Alllaaaa
 

Haya Wewe POPOMA Umeshapata Sasa KIKI Na UMAARUFU Kujibizana Na Mimi Humu Haya Nenda Sasa Ukatambe Huko Mtaani Kwenu Uswazi.
 

Ha ha ha.. Hivi umeshawahi kusikia mtu akashtakiwa mahakamaani kwa kuchorwa na bila ya kuwa na jina hiyo picha yenyewe ya katuni..? Unless watumie ubabe hakuna kipengele chochote ambacho kinaweza kumtia mtu hatiani.. Na hata hao Basata wakisema lolote basi itakuwa ni mihemko yao tu ya kisiasa mkuu.. Na wala kp hajakosea kuleta ujumbe huu kwa njia ya katuni..

Inanikumbusha enzi ya Makamba alipokuwa mkuu wa mkoa.. Kuna jamaa alipelekwa mahakamani kwa kumtukana Makamba na tusi lenyewe eti alimuambia makamba hana busara..! Mihemko tu ya kijnga na kibabe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…