Masoud Kipanya hii haiko sawa


There you are!!!! Indeed you are the Great Thinker. I believe kwamba uandishi wa kikasuku hauhitajiki katika jamii
 


Kwendeni Zenu Huko. Mbona Katuni Zake Zingine Huwa Hamzisifii? Hii Katuni Ya Masoud Kipanya Na Picha Za UTUPU Ambazo Kila Siku Tunaziona Tena Katika Magazeti Yenu Pendwa Ya Udaku Mbona Huwa Hamuyakemei Kiasi Hiki Na Tena Maudhui Yao Mengi Huwa Ni Ya KIMATUSI Kuanzia Picha Na Muda Mwingine Hata Maneno Huku Nyie Wenyewe ( Wewe Ukiwemo ) Na Haswa Watoto Wenu Hawa Wa Shuleni Ndiyo Wakiwa Wanunuzi Wakubwa Ipi Ni Hatari Katika Jamii? Mnajifanya Mnajua Masuala Ya Maadili Na Nidhamu Wakati Wengi Wenu Hamna Hata Theluthi Ya Maadili Mema Kuanzia Kwenu Na Katika Jamii Zenu Husika Zinazowazunguka. Halafu Ukome Kuniambia au Kunifanananisha Mimi Na Masoud Kipanya Na Kuna Siku Mtanifananisha Pia Hata Na Yesu Kristo Wa Nazareth!
 
Sasa wewe ulitaka awe kama wasanii wengine wa kitanzania ambao akili zao zinaishia mtaani tu!? Ukitaka kuwa msanii mzuri ni lazima uende mbali sana, usisahau KP naye ana hisia hivyo watu wakifanya ujinga ni lazima awaonyeshe ujinga wao!


Nimekupata mkuu kuwa ujinga wao ameuonyesha kwa kutumia ujinga wake, hiyo sare
 
Hivi walikuwa wanagombana hivyo kwa kazi za kupewa tuu? Jee kama kazi zao zingekuwa zinaombwa na kufanyiwa vetting na chombo fulani hadi kupita sii ingekuwa balaa!
 

Umeamza vzr umemaliza kipimbi
 
Mnazungumzia maadili when it suits your interests only and not he national good! !
 
Duh nime-scroll ili tu kuiona hiyo picha! Arrrrgh
 
mbona mnajadili hewa hiyo katuni iko wapi?
 

Masanja umempa dogo ukweli wa mambo.
 

Thread closed........loh.....
 

Weka picha

iko wapi?

Mandla weka hiyo katuni.

Naona hata kwenye website yao haimo

Weka tujiridhishe

In ile ya ishindi wa magufuli?

Ile Membe na Lowasa wamebebwa na Mh. Magufuli?

Not everybdy has seen it.!

Freedom of expression!!!! Haina shida yoyote.

Duh nime-scroll ili tu kuiona hiyo picha! Arrrrgh

mbona mnajadili hewa hiyo katuni iko wapi?

sijaona tatizo ....

katuni yenyewe hii hapa?
 

Attachments

  • 1436871244516.jpg
    55.4 KB · Views: 479
Last edited by a moderator:
Haya ni hii hapa....mjumbe hauwawi
 

Attachments

  • 1436871545755.jpg
    56.1 KB · Views: 376
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…