Ndiyo hivyo... Unamlisha chakula mtoto wa jirani wakati wakwako anakufa na njaa. Huyu jamaa hivi vibonzo vyake huwa fikirishi sana yani...WAKATI MWINGINE TUNASHINDWA KUTAFSRI HAYA MAFUMBO, JE HII NI HII YA JUZI KULE MALAWI, MSUMBIJI NA ZIMBABWE?
Tena anayelishwa sio mtoto. Ni baba zima lililokomaa mpaka miguu inatoa checheNdiyo hivyo... Unamlisha chakula mtoto wa jirani wakati wakwako anakufa na njaa. Huyu jamaa hivi vibonzo vyake huwa fikirishi sana yani...
Chora yako uviweke hivyo vyoteKama ni hii ya juzi (Msumdiji na nduguze) hapo kipanya amechemka.
Angechora huyo mtoto anayesaidiwa yuko hoi na mama yake anampepea huku akiomba msaada..ndipo mama Tz aje na kutoa chakula cha mwanae na kumlisha aliyezidiwa.
Hiyo angalao ingetoa tafsiri sahihi.
Sio lazima wote tuwe wachezaji..washangiliaji tuna nafasi yetu pia.
tetemeko kagera agaist kimbunga msumbiji
alafu vingine sio vya masoud Watu saiv wanatumia Sign zake tu ila masoud humtafsiri kirahsi rahisi hivi...(kumuelewa yabidi utulize kichwa)
Kagera Si watu wa misifa misifa tu..Kagera waliambiwa kila janga kwao pesa wanajua Waliko ziweka My God
Sent using Jamii Forums mobile app
Kusaidia wengine sio mpaka uwe na vyingi ..kile kile ulichonacho unawapa na wengine..acheni ushamba!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu chora hiyo katuni yako wewe itapendeza,Kama ni hii ya juzi (Msumbiji na nduguze) hapo kipanya amechemka.
Angechora huyo mtoto anayesaidiwa yuko hoi na mama yake anampepea huku akiomba msaada..ndipo mama Tz aje na kutoa chakula cha mwanae na kumlisha aliyezidiwa.
Hiyo angalao ingetoa tafsiri sahihi.