sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,406
- 19,375
Inategemea na nke na nkeSafi sana. Ataishi maisha marefu sana. Kuwa na Mke mmoja bila hata mchepuko ni kujitafutia stress tu na kukaribisha magonjwa yasiyoambukiza kama pressure, kisukari, moyo kuwa mkubwa n.k
Ndoa ZakeMaashallah, Allah amfanyie wepesi ktk ndoa yake
Wake Zake wanamtunzaIna maana kipanya mwaka huu anatimiza miaka 50[emoji15] aiseee hafananii na umri huo
akiwa na mke wa kwanza....Jumatatu. jumanna. Jumatano. Alhamis. Ijumaa.....ratiba nzuri kabisa hii. Sasa Kuna mtu ana mke mmoja tu lakini kutwa nzima kulalamika hapa JF.
Ukimweka masoud na mwijaku, mwijaku anaonekana mkubwaIna maana kipanya mwaka huu anatimiza miaka 50[emoji15] aiseee hafananii na umri huo