Trillion
JF-Expert Member
- Apr 24, 2018
- 3,333
- 7,486
Kwa kurembua tu hodori sana, hata wenza wake kwenye mitala wanamkubali mno.Naipenda ile picha ya chifu Hangaya akifumua engine na kutoa oil chafu huku akilembua na ushungi wake.
Kwa kurembua tu hodori sana, hata wenza wake kwenye mitala wanamkubali mno.Naipenda ile picha ya chifu Hangaya akifumua engine na kutoa oil chafu huku akilembua na ushungi wake.
Utawaweza kwa matusi hao waabudiao maiti iliyofukiwa Chato. Wana hasira ile ile ya roho mbaya ya Mwendawazimu.Unamuita mpumbavu kakukosea?
Nenda mahakamani ukatoe ushahidi kuhusu hilo kundi labda inaweza msaidia Kamanda Mbowe kupata uhuru wake.Kuna kundi linamuongoza Rais ambalo ndio huamua wa kumteka au kumuua , fuatilia kesi ya Mbowe utaelewa
Uongo mtupu,Masudi aliwahi kutekwa enzi za Magu akaachiwa fasta kelele zilivyozidi.Huyu alikuwa akimchora mwendazake na bichwa kubwa kwa amani kabisa bila fujo
na content mbovu
Kumbe Jiwe alikuwa anaogopa kelele za watu?Uongo mtupu,Masudi aliwahi kutekwa enzi za Magu akaachiwa fasta kelele zilivyozidi.
Sauti za kupeana miti tu ndio alikua anaziogopa.Kumbe Jiwe alikuwa anaogopa kelele za watu?
Na yeye pia anafurahia kuona wanaomkosoa wakishughulikiwa.
Hadi leo wananchi wanajiuliza kosa la mbowe Ni lipi?
Uongo upi !!?Uongo mtupu,Masudi aliwahi kutekwa enzi za Magu akaachiwa fasta kelele zilivyozidi.
Jamaa 1: "Mama anaupiga mwingi"Mama anaponya nchi 😁😁
Kwa ushahidi upi hapo!? Ushahidi ni ule ambao hauna chembe yoyote ya shaka.Huu ni upuuzi,ukimkamata anaweza thibitisha ujumbe huu wa kwenye katuni yake? Uhuru wa kujieleza sio fursa ya kuvunja sheria na kufanya udharirishaji.
Mbona masoud hajawahi kumchora bosi wake kwa vyovyote vile ili aone kama bosi wake anafulahi?Masoud Kipanya akiwa anahojiwa na BBC amesema alipokea ujumbe kuwa anamuandama sana mama.
Masoud kupitia mahojiano na BBC amejitetea kuwa yeye hachori raisi bali anachora uraisi, na anapochora sio kuwa anamchukia huyo mtu. hivyo asichukuliwe vibaya.
Hili suala naona ni la ajabu kidogo hadi Sasa sijaona kwa nini viongozi na watu wanachukizwa na mawazo mbadala ya watu wengine.
Bado nashangaa unawezaje kuchukua katuni? Je ni kweli mama nae anachukia au ni watu wake tu ambao ni viherehere?
Wiki chache nyuma tuliona mchora katuni Opter Fwema akikamatwa kwa sababu ya katuni yake aliyomchora mama.
Je Ina maana hawa wachora katuni bawatakiwi kabisa kuchora uraisi? Au inabidi katuni zote zipitie kwanza huko ziwe edited ndio zifike kwa public?
Tuache haya mambo, kuna mengi ya kuconcentrate nayo kuliko hawa wachora katuni ambao hawana sana impact na katuni zao.
We mkinga mjingamjinga una taarifa mwekezaji Sumry kakata tamaa ya kuendelea kulima mahindi baada ya kuiomba serikali wamtafutie masoko then waziri mwny dhamana akashindwa kutoa maelezo ya kueleweka.
Dab alimteka kelele zikawa nyingi akaachiwaMasouid ni legendary moja ya watu informer wazur Sana , alimchora jiwe atakavyo nashangaa Kwa nini jiwe hakula nae sahani moja, ila Kwa mama imekuwa tofaut...!!
Wakiamua uandhani ulichoandika kitasaidia? Mbowe anasota Jela kwa kupewa kesiMasoud ni public figure kumdhuru kwa namna yoyote kutaleta shida Serikalini, aachwe mara moja kutishwa
Kafukuza machingaMama anaponya nchi 😁😁