Masoud Kipanya adai kupokea vitisho vya ujumbe kuwa anamuandama sana Rais Samia

Masoud Kipanya akiwa anahojiwa na BBC amesema alipokea ujumbe kuwa anamuandama sana mama.

Masoud kupitia mahojiano na BBC amejitetea kuwa yeye hachori raisi bali anachora uraisi, na anapochora sio kuwa anamchukia huyo mtu. hivyo asichukuliwe vibaya.

Hili suala naona ni la ajabu kidogo.hadi Sasa sijaona kwa nini viongozi na watu wanachukizwa na mawazo mbadala ya watu wengine.

Bado nashangaa unawezaje kuchukua katuni? Je ni kweli mama nae anachukia au ni watu wake tu ambao ni viherehere?

Wiki chache nyuma tuliona mchora katuni Opter Fwema akikamatwa kwa sababu ya katuni yake aliyomchora mama.

Je Ina maana hawa wachora katuni bawatakiwi kabisa kuchora uraisi? Au inabidi katuni zote zipitie kwanza huko ziwe edited ndio zifike kwa public?

Tuache haya mambo, kuna mengi ya kuconcentrate nayo kuliko hawa wachora katuni ambao hawana sana impact na katuni zao.

vitu vingine ni biashra za watu.

ili uendelee kuwa relevant na kupiga faida ni lazima utengeneze mazingira ya kuonekana unatafutwa au kutishiwa.

Kwani wakitaka kukufanya chochote wanashindwa ninin ?

hUYU kIPANYA ANACHORA KATUNI ZENYE MAAJABU GANI ?

Angekuwa anachora katuni kama za kina Gaddo si angejiona Lissu kabisa.

Kwanza anaposema anachora urais ndio nini wakati anachora WATU na kila mtu anaona.
 
Hizi propaganda utaweza kweli kuzifanya miaka yote ya chief hangaya? Naona Kama wenzako wanakutegea
Propaganda zilifanywa na awamu ya 5 ila mimi Sifanyi propaganda nafanya kinachotekelezwa site kabisa ,mimi pia ni shahidi na mhusika wa utekelezaji . .

Mil.500 za kila Jimbo zinafanya haya hapa huku niliko 👇

IMG_20211026_174819_196.jpg
 
Siajabu ni kiki tu, anatafuta pa kutokea vizuri.........mama gani wa kuhangaika na kipanya?!!! Kama hana haja na polepole na hata na yule gwajima, atahangaishwa na kipanya?!!
Hii ni kiki!
 
Mpumbavu tuu yule kwake kila kitu ni kibaya
Wewe mbona unaleta maudiktekta ya kishamba ya MEKO,Kwa hiyo kila unachoona kizuri na yeye aone hivyohivyo? It's better uheshimu mawazo ya wengine yaliyokuwa permitted na sheria-hvyo ni haki yake.Therefore akimchora MEKO sawa,ila akimchora MAMA siyo sawa? unafki mbaya sana
 
Wewe mbona unaleta maudiktekta ya kishamba ya MEKO,Kwa hiyo kila unachoona kizuri na yeye aone hivyohivyo? It's better uheshimu mawazo ya wengine yaliyokuwa permitted na sheria-hvyo ni haki yake
Kwake kila kitu ni kibaya ndio maana wamemueleza kama hataki aendelee
 
Masoud Kipanya akiwa anahojiwa na BBC amesema alipokea ujumbe kuwa anamuandama sana mama.

Masoud kupitia mahojiano na BBC amejitetea kuwa yeye hachori raisi bali anachora uraisi, na anapochora sio kuwa anamchukia huyo mtu. hivyo asichukuliwe vibaya.

Hili suala naona ni la ajabu kidogo.hadi Sasa sijaona kwa nini viongozi na watu wanachukizwa na mawazo mbadala ya watu wengine.

Bado nashangaa unawezaje kuchukua katuni? Je ni kweli mama nae anachukia au ni watu wake tu ambao ni viherehere?

Wiki chache nyuma tuliona mchora katuni Opter Fwema akikamatwa kwa sababu ya katuni yake aliyomchora mama.

Je Ina maana hawa wachora katuni bawatakiwi kabisa kuchora uraisi? Au inabidi katuni zote zipitie kwanza huko ziwe edited ndio zifike kwa public?

Tuache haya mambo, kuna mengi ya kuconcentrate nayo kuliko hawa wachora katuni ambao hawana sana impact na katuni zao.

Kuna kundi linamuongoza Rais ambalo ndio huamua wa kumteka au kumuua , fuatilia kesi ya Mbowe utaelewa
 
Masoud Kipanya akiwa anahojiwa na BBC amesema alipokea ujumbe kuwa anamuandama sana mama.

Masoud kupitia mahojiano na BBC amejitetea kuwa yeye hachori raisi bali anachora uraisi, na anapochora sio kuwa anamchukia huyo mtu. hivyo asichukuliwe vibaya.

Hili suala naona ni la ajabu kidogo.hadi Sasa sijaona kwa nini viongozi na watu wanachukizwa na mawazo mbadala ya watu wengine.

Bado nashangaa unawezaje kuchukua katuni? Je ni kweli mama nae anachukia au ni watu wake tu ambao ni viherehere?

Wiki chache nyuma tuliona mchora katuni Opter Fwema akikamatwa kwa sababu ya katuni yake aliyomchora mama.

Je Ina maana hawa wachora katuni bawatakiwi kabisa kuchora uraisi? Au inabidi katuni zote zipitie kwanza huko ziwe edited ndio zifike kwa public?

Tuache haya mambo, kuna mengi ya kuconcentrate nayo kuliko hawa wachora katuni ambao hawana sana impact na katuni zao.

Nimeipenda sana hii
Instagram%20post%20by%20Masoud%20Kipanya_CVmQgnLDe22(JPG).jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom