Masoud Kipanya adai kupokea vitisho vya ujumbe kuwa anamuandama sana Rais Samia

We mkinga mjingamjinga una taarifa mwekezaji Sumry kakata tamaa ya kuendelea kulima mahindi baada ya kuiomba serikali wamtafutie masoko then waziri mwny dhamana akashindwa kutoa maelezo ya kueleweka.
We kubwa la wajinga unaongea nini? Alikuwa anawekeza akijua serikali ndio itamtafutia soko? Wakulima wapumbavu kama huyo na wewe hatuwataki nchini kwetu.
 
We kubwa la wajinga unaongea nini? Alikuwa anawekeza akijua serikali ndio itamtafutia soko? Wakulima wapumbavu kama huyo na wewe hatuwataki nchini kwetu.
Hizi akili za kuendea chooni hizi,huoni kama serikali ina jukumu la kuwatafutia masoko wakulima?
Mjinga gani atakayekubali kulima mahindi,pembejeo zipo juu,bei ya mazao ipo chini.
Siku nyingine ukiandika ujinga nakufata hapo Kisiwani nije kukutandika makofi.
 
Hizi akili za kuendea chooni hizi,huoni kama serikali ina jukumu la kuwatafutia masoko wakulima?
Mjinga gani atakayekubali kulima mahindi,pembejeo zipo juu,bei ya mazao ipo chini.
Siku nyingine ukiandika ujinga nakufata hapo Kisiwani nije kukutandika makofi.
Kama za mama yako alizokurithisha.
 
Masoud Kipanya akiwa anahojiwa na BBC amesema alipokea ujumbe kuwa anamuandama sana mama.

Masoud kupitia mahojiano na BBC amejitetea kuwa yeye hachori raisi bali anachora uraisi, na anapochora sio kuwa anamchukia huyo mtu. hivyo asichukuliwe vibaya.

Hili suala naona ni la ajabu kidogo hadi Sasa sijaona kwa nini viongozi na watu wanachukizwa na mawazo mbadala ya watu wengine.

Bado nashangaa unawezaje kuchukua katuni? Je ni kweli mama nae anachukia au ni watu wake tu ambao ni viherehere?

Wiki chache nyuma tuliona mchora katuni Opter Fwema akikamatwa kwa sababu ya katuni yake aliyomchora mama.

Je Ina maana hawa wachora katuni bawatakiwi kabisa kuchora uraisi? Au inabidi katuni zote zipitie kwanza huko ziwe edited ndio zifike kwa public?

Tuache haya mambo, kuna mengi ya kuconcentrate nayo kuliko hawa wachora katuni ambao hawana sana impact na katuni zao.

Weee! dogo usitake kutuzengua hapa Urais ndo nini?? Rais ni mtu anae simama km taasisi ndo Urais wenyewe huo Bibi na bwana ndo alama yake! acha siasa za kizamani hizo ujue tutakuzingua mpaka ujambe kifukuto!!

hiyo taasisi ya Mheshimiwa Rais lazima iheshimiwe!!! bila Masharti- mnataka kumshika Rais pabaya sasa!! sababu anawachekea siyo?? manake una Uhuru bila nidhamu na mipaka huo wa kwako sasa ni level ya Uwenda wazimu tu!!

weye unafanya wenda wazimu wa kizamani sana!! unatwist lugha kishamba!! unatafuta umaarufu au?? ok! utakuwa maarufu ahera!! na huyo mke wako wa tano utaoa huko huko!! mwache mama achape kazi usipende kujibizana na sisi!

Huko BBC tumekuruhusu sisi Uendeko! ....sasa umepata kiburi cha uzima yaani km vilevile shetani alivo barikiwa na Mungu, akajiona mwamba ajabu sasa still aka mgeuka MUNGU,

mpaka leo shetani hajawahi jutia vitendo vyake vya kidhalimu dhidi ya Mungu wetu! sasa nina mashaka huenda ana watoto BONGO!!! hatukuonyi!! bali tuna fanya na kukupatia taarifa juu ya yatakayo jiri,

kwa muktadha huo utajua wewe sasa!!! ukome!! au uendelee! kukufunga domo lako kubwa hilo km kopo! sisi ndo sisi, si unamjua Ulimboka weye? hatukumuua yule maksudi! tu! ulizia kwa jirani leo hii yuko wapi!!

Sisi ni watenda kazi wa gizani tu!! ajili ya kulinda heshima ya Mama wala hata yeye hatujui sisi ni kina nani!!! ila ni Mapenzi yetu kwake!! jinsi anavo linda masrahi yetu bila kujua yaani bila Mama tusingepata heshima hii!!

Ukimgusa Mama umetutonesha donda letu!! kifupi ni sawa na Gwajima anavomlinda mungu wake wa israel ya leo!...lkn huyo mungu anae abudiwa na gwaji boy hajui kuwa kuna mwafrica mweusi ana mu-mind!

Na sisi ni ivo ivo!! usione ajabu wengine unafanya kazi nao bega kwa bega!! na tukikufanyizia usihangaike kumsema Mama...utajisumbua tu! hajui...yaaani sisi na yule Mama Rais ni damu damu!! hujui tu!

hapa tunakuonya tena!! bwana wee!! hatutaki hiyo Urais uuguse!! guse! ukitaka gombea na wewe!! uchaguliwe kivyako kwani form si zipo tele????
 
Labda awe anamtania huyu tu
20220121_182331.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom