Masoud Kipanya adai kupokea vitisho vya ujumbe kuwa anamuandama sana Rais Samia

Mwendazake alisema huwa anaangalia katuni za Masudi jinsi anavyomchora kichwa chake,lakini hakumchulia hatua
Rais lazima awe na ngozi ngumu Kama Kikwete, CHADEMA aliwakaribisha Ikulu wakaishia kumuita dhaifu.
 
Kila siku anafuatiliwa yeye toka kipindi cha Magufuli, na cha ajabu hao wanaomfuatilia hawajafanikiwa tu kumdhuru hadi leo.
 
Subiri Mahakama ndiyo itasema. Mbowe ni mtumiwa tu wa vitendo vya ugaidi kati ya mwezi Machi na August 2020. Samia halimhusu
Na yeye pia anafurahia kuona wanaomkosoa wakishughulikiwa.
Hadi leo wananchi wanajiuliza kosa la mbowe Ni lipi?
 
Huu ni upuuzi,ukimkamata anaweza thibitisha ujumbe huu wa kwenye katuni yake? Uhuru wa kujieleza sio fursa ya kuvunja sheria na kufanya udharirishaji.
Kwa ushahidi upi hapo!? Ushahidi ni ule ambao hauna chembe yoyote ya shaka.
 
Mb
Masoud Kipanya akiwa anahojiwa na BBC amesema alipokea ujumbe kuwa anamuandama sana mama.

Masoud kupitia mahojiano na BBC amejitetea kuwa yeye hachori raisi bali anachora uraisi, na anapochora sio kuwa anamchukia huyo mtu. hivyo asichukuliwe vibaya.

Hili suala naona ni la ajabu kidogo hadi Sasa sijaona kwa nini viongozi na watu wanachukizwa na mawazo mbadala ya watu wengine.

Bado nashangaa unawezaje kuchukua katuni? Je ni kweli mama nae anachukia au ni watu wake tu ambao ni viherehere?

Wiki chache nyuma tuliona mchora katuni Opter Fwema akikamatwa kwa sababu ya katuni yake aliyomchora mama.

Je Ina maana hawa wachora katuni bawatakiwi kabisa kuchora uraisi? Au inabidi katuni zote zipitie kwanza huko ziwe edited ndio zifike kwa public?

Tuache haya mambo, kuna mengi ya kuconcentrate nayo kuliko hawa wachora katuni ambao hawana sana impact na katuni zao.

Mbona masoud hajawahi kumchora bosi wake kwa vyovyote vile ili aone kama bosi wake anafulahi?
Bosi wake ameshawahai kutuhumiwa huko nyuma kwa mambo kadhaa lakini masoud hakumchola,
Basi nae awe anajichor kulingana na hurka yake kisha anajiweka kikatuni tumuone, au achore wafanyakazi wenzake wenye madhambi kijamii.
 
Masoud aache ujinga kama anaogopa kumchora mama eti anasema anachora taasisi ya uraisi, mbona alikua anamchora Magufuli na kidevu kilefu hapo alikua anachora taasisi au alikua anamchora Magufuli?
Aache uoga kama anatumia haki basi amchole huyo mama kwa umbo ili atete uhuru wa vikatuni vyake.
Sasa ana anza kulalama anadhai kuchorwa kuna mtu anafulahi?
Basi ajichoe yeye mwenyewe na sura za kejeli, au bosi wake?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom