Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,944
- 703
Nimekutana na hii picha na huyo dada akijitambulisha kama mfanyakazi wa ndani (Hausigeli) kwa jina Elizabeth Patrick. Nimeiweka hii picha hapa kwa kuanzisha hii thread purposely maana watu wengi especially jamii ya kiafrika wanawadharau wasichana wanaofanya kazi za ndani. Sina hakika kama wanaume wanaofanya hizi shughuli nao wanakumbwa na hii dharau.
Huyu dada looks so beautiful, na kama hasingejitambulisha kwa kazi yake hiyo, watu wangeamini kuwa anafanya shughuli maybe ofisini kwenye kiyoyozi. Watu wa namna hii wakipewa nafasi wajivunie kile walicho nacho, inaweza kuleta balaa hata ndani ya nyumba ya tajiri wake. Kama baba mwenye nyumba si mtu wa kujiheshimu anaweza kujikuta anavunja ndoa kwa hilo.
Picha hiyo hapo, maoni yanakaribishwa.
Picha: Kwa hisani ya Jiachie blog.
My Take: Wafanyakazi wa ndani wanatakiwa nao wapewe mwanya wa kujivunia whatever they have. Unakuta waajiri wengine hawaruhusu hausigeli wao hata kutoka for social activities. Hawa watu wanatakiwa kuheshimiwa kama vile wafanyakazi wengine. I wish watu hawa wangeanzisha chama chao ambacho kingekuwa na lengo la kutetea haki zao dhidi ya waajiri katili.