Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 25,037
- 60,222
Huyu anategemea Google hana materials yake kama yeye na curiosity yake kama yeye ndo maana anashindwa kwenda kwenye details anabaki tu kusema masomo ya chuo kikuu yafundishwe A level. Sijui mara specialization wakati hizo combination ni specialization pia.acha kupanic, sisi tunataka tuende step kwa step kama watu civilized, je a level umesoma? chuo umesoma?