Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,475
- 33,039
- Thread starter
- #21
Vipi tukianza basic skills kuanzia sekondari?
Katika miaka minne tukafundisha 2 Year Formal na 2 Years 21st Century Skills kwa kutoa elimu ya vitendo katika Mekanika, Umeme, Carpentry, Plumbing, Computer, Ushonaji, Ujenzi, Kilimo, Maabara and co.?
Tanzania halitokuwa taifa lenye vyuo kila kata?
Tukiwa na vyuo vya ufundi kila kata ndio vizuri,lol nimeipenda hio system uliyopropose ila pia kuwe na choice kwa mtu anayetaka..lol..i think system yetu inakosa 'flexibility'