Maslahi, mishahara duni kwa Polisi chanzo cha rushwa na dhuluma

Zipo kada nyingi zina kipato cha chini zaidi kuliko police.Na zina maendeleo.
Shida ya police wanapenda Sana kufungua zipu na vizibo hivi vitu viwili pesa haikai hata wakilipwa milioni 10 kwa mwezi.
 
Chukua kidogo mwachie na mwenzio apate pa kuanzia.
Kwanza kwa nini uchukue kidogo cha mtu ?

Mtu ana mshahara wake ambao anaweza kuutumia kuanzisha biashara na akafanikiwa alafu hapo hapo atake cha mtu mwingine ambae mtu huyu kodi yake ndio inamlipa polisi ?

Kinachotakiwa askari wajitafakari sana na wawe na hofu ya Mungu kwamba hawa wanaowafanyia ubaya watakutana nao siku moja mtaani kwenye maisha mengine
 
Ukimuona Askari anaishi maisha magumu baada ya kustaafu au kufukuzwa Kazi usimsaidie jua analipwa dhuluma alizowatendea watu alipokuwa kazini.
 
Hao washenzi wanatakiwa kuishi kwenye nyumba za bati au mapipa,hawastahili hata mshahara wa laki bladifaken
 
Hata hao waliajiriwa kwa mishahara hiyo hiyo wakabadilika.kwahiyo ata watakao ajiriwa nao watabadilika.Ni askari wachache sana wanaoweza kuvumilia kulala njaa wakati wanajua kua tu nahiyo kazi ni pesa tosha.
Usiwe mtumwa wa Historia

Jeshi la polisi ajirini haraka Askari wapya hi mizee isiyo na elimu Ina nyodo mingi darasa la Saba na form four failure inataka mishahara mikubwa

Ajirini haraka wenye elimu na ufaulu wao
 
Mishahara hulipwa kulingana na ujuzi na elimu ya mtumishi. Sifa ya awali kuingia ccp ni darasa la 7 (japo f4 wasio na vyeti nao wamo) na kozi huchukua miezi 9. Serikali ikiwapendelea idara zingine watalalamika, na matokeo ni kazi kudoda.
 
Siafiki hii hoja uduni wa mishahara sijui na vitendea kazi si sababu ya kuonea wananchi
 
Tatizo sio mishahara, tatizo ni uhakika wa hela ndogo ndogo za KILA siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…