hakika ule mlipuko wa jana ulikwenda na watu wengi, kwa ule uzi ni wazi vichwa vya kunyolewa visinge kosekana, watu zaidi ya 12,000 wlikuwa wana ufatilia hule uzi na ulikuwa kwenye ulinzi sana kwa hiyo si shangai vichwa vya kunyolewa kupatikana lakini na sikitika ni shemeji yangu mke wa nitonye. nilitegemea ingekuwa sosoliso au Paloma.
leo nimeenda kichwa kichwa kidogo nilivae,
jamaa kanitolea ya nguoni mazima mazima bila chenga wala nini
manusura nijibu nikaweza kujikontiro na kuondoka huko nduki,
sina hamu tena na siasani kabisa mie.
hahahaha kwani ulisha muacha kaka? na hisi utaratibu ulivunjwaShemeji Ruttashobolwa hebu taratibu na huo mdomo wako
Niongeapo na mzazi mwenzangu we mvulana unatakiwa unyamaze.
Hivi sweetlady ukoje na Nicas Mtei?...Jamaa anajibamiza sana kwako, kuna naniliu anawekeza nini?
Heheh ngoja nimuandalie kabahasha hapa...
Hahahahaha..... Ndio mana I love you dady.... Ila mkweo sina hakika kama anahitaji bahasha..... Hiyo ameifanya kuonyesha upendo.... Si unajua tuliapa kwa shida na raha eeh
hahahaha. We unataka kujua nini?
Mhhh sijaiona hii sweetlady uko wapi aise
kama wamekuachia kwenye ban please come zis wei
Wameniachia Mr Rocky....... Zis wei tutakuja na husband Nicas Mtei next week end peke angu hapana
Muulize inamuhuuuuuu au anataka kusutwa