Naomba uelezee vizuri sentenso hiyo!Hahahahaha.... Kumbe ndio kazi yako kutongoza memba mpya daaah.....
Usiku wa leo ukisikia police wanaruka ukuta kwako ujue uko chini ya ulinzi.... Uanze kujisalimisha mapema
Look who is back...wooooh!!!
jibu hlo lnamtosha.
Hivi sweetlady ukoje na Nicas Mtei?...Jamaa anajibamiza sana kwako, kuna naniliu anawekeza nini?
Niongeapo na mzazi mwenzangu we mvulana unatakiwa unyamaze.
Hapana..ni kwamba mtoto wa mdogo wa mjombaabgu ndio alimzaa shemeji wa baba mkubwa wa Magesa.
Naomba uelezee vizuri sentenso hiyo!
Hehehehehe...... Mkweo Nicas Mtei alivoona dady huna furaha kwa kunikosa binti yako akahangaika usiku kucha.... Anastahili pongezi kwakweli! Ni mume bora dady
Hahahahaha.... Shikamoo mama mkubwa Mamndenyi..... Sihasani leo sikanyagi kabisaaaa.... We ukipita wasalimie sana
Heheh ngoja nimuandalie kabahasha hapa...
Hahahaaa mi naendaga ila nakuwa mvumilivu sana na naheshimu fikra za wajinga coz ndio kiwango chao kimefika mwisho.
Hahahaaa mi naendaga ila nakuwa mvumilivu sana na naheshimu fikra za wajinga coz ndio kiwango chao kimefika mwisho.