Ina maana alipewa BAN ya masaa?
Maana status yake inaonesha ameachiliwa tayari!
Hahahahaaa
Mi nilimwambia aachane na JF na habari za jana apike tule akajifanya anakomaa na habari mpasuko lol sangapi nayeye wasimpige Bomu!
Hahahahaaa chezea vib......shia wewe!
Rest In Server my sweetlady
Halafu weweeeeeee..... Nisikukamate
sIKUBALIANI NA HUU UTARATIBU ULIOTUMIKA...
Hivi kuna mtu ana namba ya Maxence?
Na wewe badilisha hiyo avetari bana!...Mimi nasahau kila wakati nataka kukutongoza nikijua ni member mpya!M'mbanu.......haiwezekeni......nakata rufaa......lazima nihakikishe unarudi ndani.......hivi unajua Lily Flower alilia sana siku ile......?
Na wewe badilisha hiyo avetari bana!...Mimi nasahau kila wakati nataka kukutongoza nikijua ni member mpya!
M'mbanu.......haiwezekeni......nakata rufaa......lazima nihakikishe unarudi ndani.......hivi unajua Lily Flower alilia sana siku ile......?
Nitamwomba kila raia wa A-Town amwonapo huyu sweetlady amzomee!!
Kima Mchanga kosa langu linaruhusiwa dhamana.... Nimeachiwa kwa dhamana mwaya.... Tarehe ya kesi atakuja kuitangaza Paw mda sio mrefu
Na wewe badilisha hiyo avetari bana!...Mimi nasahau kila wakati nataka kukutongoza nikijua ni member mpya!
Yaani PakaJimmy kitendo cha mimi kuachiwa huru kimemuuma sana daaah... Roho yake kama mkuu wa mkoa wa arusha bana
Mwaaaaaa lovely dady
Douta yuko huru sasa.... Ondoa masikitiko yote
pole sweetlady ulifanya kosa gani hadi ustahili kusulubishwa asubuhi asubuhi ivi?