Maskini Sophia wangu... Sasa najutia!

mmmmmmmmmmh! loading........kumbe wewe siyo SHEMALE ni He ,au?
kongosho unatuchanganya hapa.
 
Yaani bg mama Baada ya ile story ya ukweli kubumbuluka umeamua kuleta hii ili utuchanganye eeh! Hatudanganyiki ng'oo.
 
story intended to No one specifically.
Just sharing experiences.
Kusema kunasaidia kama hujui.
 
tatizo ni kukonsentrati na na detail isiyo na maana na kucha story nzima behind the scene.
 
@bepari la kihaya upo?
niko hapa serena napata cocktail kabla ya kwenda sea cliff karambezi nina miadi na deputy gavana wa benki kuu.Nataka nilale mapema maana alfajiri nachukua swiissair nina kikao na sapplya wangu zurich mchana.Karibu serena Husn.
 
Hivi unadhani Kashozi utapeleka Nyamhanga?

Au ubebe mtoto uende naye? Umesahau unavyoingia ndani kinyume nyume na watu waote wanaitwa kushuhudia ili wajifunze toka kwako.

Do you think it was easy? Kubeba hiyo aibu?
Hasa kumfikiria mama akichekwa na majirani?

Tena wewe, you know it better than anyone wala usiseme hayo maana ntakubamiza.

nye.....ge tu na sophy inakusumbua,huna lolote.
 
mmh, unakumbuka stigma ya nyamahanga?sasa hivi ndo pametulia kidogo, tena niache kabisa.

eti eh? Wapotezee hawa wachakuchuaji,mi mwenyewe nawashangaa aisee.
 
kwi kwi kwi kwi.....Husn uko wapi unishikilie mbavu zangu?
Teh teh teh teh jamani jamani mpaka machozi yanandondoka,uuuuuuuwwwwiiii mbavu zangu jamani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…