Maskini mwandosya mungu ampe nguvu jamani!!

Anzisha thread yako yenye maswali ya hivyo utapata majibu kadiri ikupasavyo. Mimi nitakupa shule mwafaka. Hii thread ni kwaajili ya kumwombea mzee wetu Mwandosya ili Mungu wa UTATU ambaye ndiye Mungu pekee aliyetuumba sote amponye. Na atamponya tu, sema AMEN

Unapoomba Mungu omba kwa Mungu ALIYE HAI ambaye yeye ni MMOJA TU! ANAE PONYA! Ukisha MSHIRIKISHA na WA UTATU,WA UPILI na WA UKWANZA itabidi UPONYAJI UCTOKEE kwani WATABISHANA NANI BINGWA wa 1,2,au 3!
mwisho lawama MNAMTUPIA MUNGU WA UKWELI AMBAE HANA MSHIRIKA HAKUZAA WALA HAKUZALIWA! na HAJAFA na HAFI MILELE!
 
Ameeeeeeeeen!

Ni kweli tupo ktk kumuombea mzee wetu mwandosya,,sasa tunamuombea kwa mungu yupi,mungu mkuu au mungu yesu?
Na hili sasa ni suala la iman ndugu zangu ni vyema likatazamwa kwa umakin,mtoa thread ndio umesababisha yote,kuna watu wengne wanaoamin mungu tuh,bila kujihusisha na dhehebu lolote la dini sasa hawaguswi kumuombea kwa mungu huyu mwandosya,thread yako imekaribisha criticism yenyew coz jf ni jamii ya iman ya believers and non believers
wengne iman yao ni kua mungu ni mmoja,hakuzaa wala hakuzaliwa,na hakuna yoyote anaefanana nae,utawazungumziaje hao nao wakiamua kumuomba mungu kwa iman yao?
Kipind hicho adam anaumbwa mungu yesu alikua wapi?hakuwepo ila alikuwepo mungu mmoja ambae daima yupo hafi na hudum milele,tuvisome vitabu vyetu na tuvihoji pia,tusiwe dogma ktk vitu vinavogusa maisha yetu kiundan kama iman
 
Amen bwana apewe sifa,jina la bwana limetamalaki,hakika bwana ataenda kutenda miujiza kwake na kufufuka na uzima mpya wa pr.mandosya.
 
kusafisha kansa ya damu anayosumbuliwa ,kisukari na ... nikaamini MUNGU atamnyanyua pale alipo...MUNGU anasafisha damu jamani tuamini hilo....
mbona hakusafisha damu ya Nyerere aliyekufa na ugonjwa huo huo?
 
Wanyakyusa wamefanya nini? Watu tumekaza kumwomba Mungu amponye mzee wetu Prof. Mwandosya, wewe unataka kuongea na wanyakyusa; watafute uongee nao!

Eeh Mungu usimwache mtumwa wako Mwandosya aendelee kuteseka ktk maumivu yake makali. Ingilia kati na umponye Mark! Wewe ambaye unamjua Mark ndani na nje; ng'oa mzizi wa ugonjwa wake ili na matawi yaweze kunyauka, ni ktk jina la Yesu tunaomba! Wote tuitikie Ameni!

vijana inabidi tuchukue nchi halafu ww unatusihi tumwombee na kuitikia Ameen, yanini taabu yote hii? mwache augue mpaka afe. tumewachoka, waache watangulie wakaandae makazi ya wengine.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom