Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 61,023
- 36,891
Mungu baba mwenye enzi yote muumba mbingu na dunia mjaza neema ndogo ndogo na kubwa ndefu na fupi nene na nyembamba tunaomba kama watakatifu wako utusamehe dhambi zetu zote tulizofanya kwa kuwaza kunena na kwa kutenda ..MUNGU baba tunaomba ushushe uponyaji wa ko juu ya kiumbe wako prof mwandosya ambae amerudi kutoka india
MUNGU mwenyezi tunaamini akuna kinashindikana kwako ulimtoa mwanao kwa ajili yetu na kwa kupigwa kwake YESU mwandosya amekwisha pona ..MUNGU baba naomba utamalize maadui zake wote wanaotarajia kumzika prof mwandosya tunatangza uhai juu ya maisha yake
wewe ni MUNGU unaesema unaesikia ulisema kwenye hesb 14:28 lolote tutakalo sema nafsini mwetu unakwenda kufanya ninatangaza uponyaji juu ya mzee wetu ninatangaza nguvu juu ya mzee wetu na wote wanaomsaidia kwenye uhai wake kupitia mwanao YESU KRISTO tunaomba
na kama waamini mungu sema
Ameeennnnnnniiiii