Maskini mke wangu

Maskini mke wangu

Kwanini usiwailize majiran?
Tafuta namba Za majiran wawe wanakupa update jamaa akija na Kama amelala
au lah....,


Sent from my iPhone using JamiiForums

kweli majiram mapaparazi wazur
 
nAWAOMBA WENYE MAWAZO YA BUSARA NA WANIPE USHAURI.MKE WANGU NI MFANYAKAZI WA SERIKALIN KATIKA MIKOA YA KASKAZINI NA MIMI NIKO MKO MWINGINE HUWA NINA TABIA YA KUMTEMBELEA MARAKWAMARA ILA TATIZO NIMEKUWA NA MASHAKA NA MFANYAKAZI MWENZIWE NA KILA NIMULIZAPO ANALALAMA SANA NA KULIA USIKU MZIMA NA HATA SAA NYINGINE KUPOTEZA FAHAMU NA KUDAI HANA MAHUSIANO KABISA NA MTU HUYO KABISA NA KUDAI NI RAFIKI TU SASA NABAKI NJIA PANDA NIFANYEJE COZ HUYO RAFIKIYE KUNA SIKU ANAKUJA HAPA NYUMBANI NA KUNIKUTA NA TUNAONGEA KIDOGO NA KUONDOKA SASA SIJUI SIKU NISIPOKUWEPO INAKUWAJE.

Kuwa jasiri. Acha kugombana na mkeo. Madhali ulikwisha muuliza basi. La kufanya ongea na huyo unaemhisi na mwambie taarifa zilizopo. Na kuwa asiwe karibu na mkeo hupendi hilo. Kwani mkeo anaweza kuwa na nia nzuri tu. Ila huyo jamaa akawa anajitahidi kuwa karibu nae ili siku moja ale tunda, na hii ni iwapo bado . Tambua kuwa iwapo bado na ukamwacha aendelee kuwa karibu lazima azma yake ataitimiza.
 
Mkuu kuwa makini sana, wanawake ni wadhaifu sana, imeandikwa kuwa tuishi nao kwa umakini sana, wewe fikiria tu kuwa Mwanaume akimwambia mwanamke kuwa " Nakupenda" tayari wenzetu wanaanza kuvuta hisia....unajua ni kwa nini?

Hata kama kwa sasa hawajaanza ila yawezekana fisibility study ndo imeanza hivyo na baada ya muda si mrefu ujenzi utaanza.

Fanya hivi; tafuta mtu aanze kuwa-track, then utaaga kuwa unarudi Dar, kisha jamaa akishaingia mwako huyo tracker atakujulisha kuwa tyr kaja, utarudi taratibu tu hadi kwako kwa kunyata ili uweze kumnasa.

Siyo kosa kwa wanandoa kuchungana watu wanaepuka mengi sana ikiwemo, kulea damu ya mwingine, magonjwa nk.
 
ndugu zanguni! kuna ukweli mwingine ukiujua unakuumiza mpaka mwisho wa uhai wako.
kamuuliza mkewe kasema hana mahusiano inatosha.
 
Mkuu unatumia uppercase tu! Safi sana!
 
sasa maskini mkeo imekujaje? mana wewe ndio unakesha na mawazo ju ya hilo...sema maskini mieeeeeeee!!!!"!
 
Kama akiulizwa kwa simu anazimia na kilio kama mamba wa kariakoo, sasa akisapraiziwa si ata-rip?

kulia kwa m/ke ni kawaida tuu anaeza tenda kosa kweli ktk kumuuliza akalia weeeeeeeee so usikonside saaaaaana kulia kwake....atakae rip ni huyo mwanaume mana ndie anaekaa roho juu ju...
 
mkoromee mwambie hata akilia mpaka anye haisaidii we unachotaka mazoea na hao kenge wake huko kazini yaishe.
 
Tafuta mchepuko na wewe. Hutaumia sana.
 
ndugu zanguni! kuna ukweli mwingine ukiujua unakuumiza mpaka mwisho wa uhai wako.
kamuuliza mkewe kasema hana mahusiano inatosha.

Mwanamke ukishaolewa marafiki wa kiume wa nn, mpige marufuku na asimame kama mwanaume
 
Wakuu mimi naona swala ni yeye kulia mpaka kuzirai hiyo ni geresha. Tena kwa mtazamo wangu ni kuwa hujo mke analia kwa kuwa mahusiano yake na kidumu chake yamefahamika. Ni kujikinga tu. Na tayari wana mahusiano ya muda mrefu. Naona manyoya hapa. Sijui nyie wakuu. Mwanume mkamilifu anafahamu maadili ya ndoa hawezi kuwa karibu sana na mke mtu .labda awe bwab.........????????
 
Back
Top Bottom