Maskini mke wangu

Maskini mke wangu

Nimekusubiri siku hizi chache useme,bado "unamtembelea" mkeo?Mke unaishi naye au huwa anatembelewa?So desperate!
 
yahaani kukutana ofisin wanaona haitoshi hadi home du!!Muulize cha maana wanachokifanya kuhusiana na kazi ni nini, kwanza mna mtoto hapo home maana kama yupo free hapo jamaa atakuwa anamega hapo hapo hana gharama za gest wala nini
 
Ndg huna tofauti na yanayonisibu,ila mm uchunguzi wangu umefikia 60%,najtahidi ufikie 85%,il niweze kuchukua maamuzi,na mpaka ss hajui na hajielew kuwa namfanyia ujasusi wa hal ya juu.Hawa viumbe n pasua kichwa sna hasa mkiwa in a distance,ni kuumia tu.

Ndugu unatafuta kuachana kwa nguvu why umchunguze hivyo kama anakuheshimu kila MTU anamapungufu
 
Back
Top Bottom