Maskini mke wangu

Maskini mke wangu

Kitendo cha kukaa nae mbal ni jawabu tosha kuwa michepuko itamuhusu huyo jamaa yuko nae ofisini masaa 12 na nyumban masaa 5 hakuna la ziada hapo uneumia😱
 
Wanawake bana yani na kukudanganya kote huko kaona haitoshi kakuigizia Na kuzimia!!!!!!
 
Mwanamke ukishaolewa marafiki wa kiume wa nn, mpige marufuku na asimame kama mwanaume

Tatizo ni kwamba hawa wanawake ndo wanawashobokea sana wanaume mwisho wa siku anapigwa mistari na siku hz neno no kwa wengi halitamkiki ni yes kwenda mbele.
 
Nawaomba wenye mawazo ya busara na wanipe ushauri.mke wangu ni mfanyakazi wa serikalini katika mikoa ya kaskazini na mimi niko mko mwingine huwa nina tabia ya kumtembelea marakwamara ila tatizo nimekuwa na mashaka na mfanyakazi mwenziwe na kila nimulizapo analalama sana na kulia usiku mzima na hata saa nyingine kupoteza fahamu na kudai hana mahusiano kabisa na mtu huyo kabisa na kudai ni rafiki tu sasa nabaki njia panda nifanyeje coz huyo rafikiye kuna siku anakuja hapa nyumbani na kunikuta na tunaongea kidogo na kuondoka sasa sijui siku nisipokuwepo inakuwaje.

Yaani siku hizi tabu tupu ukioa mfanyakazi atakutana na wanaume na kuingizwa mkenge, ukioa golikipa maisha magum utakosa wa kusaidiana naye..Ushauri wangu mkuu mhamishe mkeo muishi naye sehem moja bila hivyo andika maumivu.
 
ukiwa haupo huenda analala hapohapo
ila si rafiki tu jameni lol
 
Nitakwambia kwa kifupi....hapo mchezo ushafanyikaa...nnajua story moja inafanana na hiyo..Janja ya kulia ni zuga
 
Mkuu @uwoga umasikini ....dalili ya mvua ni mawingu na ukiona panapofuka moshi ujue...
 
Nawaomba wenye mawazo ya busara na wanipe ushauri.mke wangu ni mfanyakazi wa serikalini katika mikoa ya kaskazini na mimi niko mko mwingine huwa nina tabia ya kumtembelea marakwamara ila tatizo nimekuwa na mashaka na mfanyakazi mwenziwe na kila nimulizapo analalama sana na kulia usiku mzima na hata saa nyingine kupoteza fahamu na kudai hana mahusiano kabisa na mtu huyo kabisa na kudai ni rafiki tu sasa nabaki njia panda nifanyeje coz huyo rafikiye kuna siku anakuja hapa nyumbani na kunikuta na tunaongea kidogo na kuondoka sasa sijui siku nisipokuwepo inakuwaje.

Acha wasiwasi muamini mkeo
 
Wakuu mimi naona swala ni yeye kulia mpaka kuzirai hiyo ni geresha. Tena kwa mtazamo wangu ni kuwa hujo mke analia kwa kuwa mahusiano yake na kidumu chake yamefahamika. Ni kujikinga tu. Na tayari wana mahusiano ya muda mrefu. Naona manyoya hapa. Sijui nyie wakuu. Mwanume mkamilifu anafahamu maadili ya ndoa hawezi kuwa karibu sana na mke mtu .labda awe bwab.........????????
hiyo ni defencive mechanism yake! nilishakua na demu wa hivyo! nikawa namuonea huruma naona kama namuonea, mwisho wa siku yale niliokua nikimuuliza mpaka analia niliyabaini ..........
NOTE: mwanamke cyo wa kuamini.

Grand PA
 
Nawaomba wenye mawazo ya busara na wanipe ushauri.mke wangu ni mfanyakazi wa serikalini katika mikoa ya kaskazini na mimi niko mko mwingine huwa nina tabia ya kumtembelea marakwamara ila tatizo nimekuwa na mashaka na mfanyakazi mwenziwe na kila nimulizapo analalama sana na kulia usiku mzima na hata saa nyingine kupoteza fahamu na kudai hana mahusiano kabisa na mtu huyo kabisa na kudai ni rafiki tu sasa nabaki njia
panda nifanyeje coz huyo rafikiye kuna siku anakuja hapa nyumbani na kunikuta na tunaongea kidogo na kuondoka sasa sijui siku nisipokuwepo inakuwaje.
Pole sana mkuu. Katika maisha wengi wetu tukiulizwa swali hili, " unatafuta nini maishani? Majibu huwa; nyumba nzuri, gari, nguo e.t.c" Lakini katika maisha huwa tunatafuta "furaha" hayo yote ni njia ya kuifikia hiyo furaha.
Huyo mkeo anahitaji kampani ni upweke unamsumbua mkuu. Jitahidi umuhamishe muwe pamoja anahitaji "furaha".
There is a point in life when a woman need more than money in search for happiness like someone who she can talk to anytime, comfort her, make her laugh e.t.c :A S angel:
 
Mkuu kuwa makini sana, wanawake ni wadhaifu sana, imeandikwa kuwa tuishi nao kwa umakini sana, wewe fikiria tu kuwa Mwanaume akimwambia mwanamke kuwa " Nakupenda" tayari wenzetu wanaanza kuvuta hisia....unajua ni kwa nini?

Hata kama kwa sasa hawajaanza ila yawezekana fisibility study ndo imeanza hivyo na baada ya muda si mrefu ujenzi utaanza.

Fanya hivi; tafuta mtu aanze kuwa-track, then utaaga kuwa unarudi Dar, kisha jamaa akishaingia mwako huyo tracker atakujulisha kuwa tyr kaja, utarudi taratibu tu hadi kwako kwa kunyata ili uweze kumnasa.

Siyo kosa kwa wanandoa kuchungana watu wanaepuka mengi sana ikiwemo, kulea damu ya mwingine, magonjwa nk.
Mwenzetu umeoa au ni kama sie tunaotheorisi tu.
 
unachapiwa kitandan kwako mkuu, tena sio kugusa tu bali unachapiwa hasa.
 
unatumia simu au desktop?,,amna kituo mkato wala alama yeyote ya kumpumzisha msomaji,,,umeandika insha ee,,by the way km mnakaa mbali ukimegewa unashukuru au unataka akapange mstari
 
kwa nini usikae nae?,unamwacha mbali ili iweje?
,elewe yeye ni binadamu na ni mdhaifu pia.
 
Back
Top Bottom