Imany John
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 2,937
- 1,193
Eti shemeji amekosea nini?
Nimekumiss ujue patna...leo si tunawakilisha kule maeneo eenh!!!
Afu shosti kwa nini hujatoa Mchango.
Mkuu mbona ndoa yangu umegoma kuitangaza?..au unataka rushwa...
jamani si unambie hata kwa pm loh!!!
shostito nimeshindwa kuja kuna ishu zimenitight kiaina....
Afu asakuta same anakuja.
Nitaenjoy.
Ina maana moderators hawaoni hao virusi wanaochafua hali ya hewa?
Nicas Mtei bora jukwaa la utambulisho kule unaishia kusema karibu, unakaribishwa, hakuna majadiliano ila FB huko waachie watoto wa secondary bana
Siasani ndo balaa kabisa kule nikitembelea nahisi kama kichwa kinaanza kuuma
Madame B bila suluhisho humu watu wataendelea kula ban za nguvu aise
Najilipua nimechoka maisha haya MzunguMndali kua mstaarabu au moderator uliupata kwa bahati mbaya? Mbona unawanyima wenzako raha? Kah! Madame B njoo mie nitakufariji hadi kaka yangu atapo kua huru.
Najilipua nimechoka maisha haya MzunguMndali kua mstaarabu au moderator uliupata kwa bahati mbaya? Mbona unawanyima wenzako raha? Kah! Madame B njoo mie nitakufariji hadi kaka yangu atapo kua huru.
Mkuu noahism,hebu niambie nimekosa nini,hadi kuniambia niwe mstaarabu??
Haya kaka mpenzi.
Wewe unaona upo sahihi? Je, unafurahi watu wanavyo kuzonga zonga humu ndani.