proff g
Senior Member
- Jul 16, 2016
- 146
- 113
Habari wana jf, mimi ni mtumishi wa serika nilie ajiriwa mwaka 2014 lakn kipindi naajiriwa nilikosa mishahara miwili nikadai kwa kufata taratibu zote ila mpaka sasa sijapata chochote lakini pia haitoshi nilipata uhamisho bado hata fedha ya uhamisho pia sikupewa hivi Mimi mwalimu nimewakosea nini????