The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 837
Huo utakuwa wendawazimu sasa akatwe kwenye ubunge alioshinda kwa wajumbe halafu ateuliwe tena kuwa mbunge ?Ummy, anaweza kuwq mteule ktk nafas 10 za mama.
Si unajua connection bhana.
Hata Emma Ni Mtu Wa UmmyUmmy, anaweza kuwq mteule ktk nafas 10 za mama.
Si unajua connection bhana.
ChaiUmmy, anaweza kuwq mteule ktk nafas 10 za mama.
Si unajua connection bhana.
Rejea yale maneno kwenye voice note ya EdoUmmy, anaweza kuwq mteule ktk nafas 10 za mama.
Si unajua connection bhana.
Kwanini alitenguliwa uwaziri..?Atapewa ukuu wa mkoa.
Hapo aliongea ukenge na yeye maana kuwa Rais haizuii personal life hasa pombe na hizo sijui fegiShida ni Ile voice ilivuja akimteta kizimkazi kua akiwa white house anapiga Sana vyombo na fegi
Duhh kama ni kweli akae mbali na siasa kwa sasa mpaka ayokeAlisema Maza mlevi…anakunywa mawiski na makonyagi
Hiyo DK ni nini?Alianza kumuondoa katika Baraza la mawaziri.
Licha ya kushika nafasi ya kwaza katika kura za wajumbe pale Tanga mjini jina lake limekatwa huku Halmashauri Kuu ya CCM NEC